Kiongozi wa Chadema achinjwa Arusha kama ccm wanataka vita tupo tayari

kicheche999

Member
Apr 23, 2012
47
16
Viongozi wa chadema wanachinjwa chinjwa kule Arusha there should be a nationwide outcry. Inakuaje members wa vyama vya upinzani kila siku tunasikia wanapigwa mitaani tunakaa kimya na viongozi wa vyama vya upinzani wako wapi? Kila siku tunamuona Mbowe anacheka cheka na JK **** HIM TOO
 
Mkuu pole sana
kwanza uelewe kuwa hakuna mtanzania mwenye moyo wa ubinadamu anaefurahia kifo cha mwenzie bila kujali chama,dini,au kabila ya huyo alokufa kwa sababu tunaamini binadamu wote ni ndugu.
Siungi mkono hoja yako inayoashiria kisasi au jino kwa jino, kwa sababu moja kuu..hupaswi kutumia njia ile ile anayotumia adui! unapaswa kwenda zaidi kuweza kumshinda tena ushindi wa kudumu..
Tafakari!!!
 
Tufafanulie vzuri nikiongozi gani kachinjwa tena?
 
Mapinduzi au Mageuzi yeyote yana gharama zake! CCM wameshajua nchi hii si yao tena, sasa wanatapatapa! huyu tutamkumbuka km Fallen Heroes wetu! RIP Mwenyekiti...
 
Mkuu pole sana
kwanza uelewe kuwa hakuna mtanzania mwenye moyo wa ubinadamu anaefurahia kifo cha mwenzie bila kujali chama,dini,au kabila ya huyo alokufa kwa sababu tunaamini binadamu wote ni ndugu.
Siungi mkono hoja yako inayoashiria kisasi au jino kwa jino, kwa sababu moja kuu..hupaswi kutumia njia ile ile anayotumia adui! unapaswa kwenda zaidi kuweza kumshinda tena ushindi wa kudumu..
Tafakari!!!

Hakuna haja ya siasa nyepesi'eti haina haja ya kulipa kisasi',haya ni mawazo mufilisi,cha msingi uvumilivu Chadema umekuwa too much,haiwezekani makamanda wanapoteza maisha na uhai wao halafu viongozi wanawatuliza wanachama wasilipe kisasi,tunawataka viongozi watoe tamko kwa police juu ya uzembe wanao ufanya dhidi ya amani ya raia wa nchi hii.MATUKIO NI MENGI SANA LAKINI ITOSHE TU KUSEMA MIMI SILIAMINI JESHI LA POLISI Kwa sana tu.RANGI NYEKUNDA INIKUMBUSHE MASHUJAA WALIOPOTEZA MAISHA NA UHAI KWA AJILI YA KUDAI NA KUTETEA HAKI.TANGULIENI,TUTAWAKUMBUKA,TUTAENZI UKAMANDA WENU,TUTADUMISHA MSHIKAMANO NDANI YA KISIMA CHETU Cha Haki,HATUTAOGOPA.VIONGOZI WA CDM TUNATAKA MTOE MSIMAMAO WA CHAMA KTK KUKOMESHA MAUAJI HAYA YA RAIA KTK NCHI HII EG.THE HAGUE ITUMIKE KUIADABISHA SERIKALI KWA UZEMBE WA POLISI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom