Mawaziri watakaotoswa na JK kuasi chama

Feb 8, 2012
92
8
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.
 
wakiwa na guts kweli wataje hao vigogo walioshirikiana nao! na wakumbuke kwa kushirikiana na vigogo haina maana hawakufanya kosa kuiba mali ya umma! wao na hao vigogo wote wezi!!wanastahili hukumu kali!
 
wana mvuto gani? hawana lolote, sidhani kama chama makini kama CDM kitapokea hao waliofulia kisiasa. Kwanza mahakama inawangoja wezi wakubwa. Wasipofunguliwa mashtaka hata miye nitaandamana
 
wana mvuto gani? hawana lolote, sidhani kama chama makini kama CDM kitapokea hao waliofulia kisiasa. Kwanza mahakama inawangoja wezi wakubwa. Wasipofunguliwa mashtaka hata miye nitaandamana

Wana jamvi hivi inaruhusiwa kuanzisha chama ukiwa Segerea, Butimba, Keko, etc..........!!!!!!!
 
C Chami alisema hawezi kujihuzulu na kuachia ngazi kwani akifanya hivyo Wapinzani watachukua jimbo la Moshi Vijijini. Hiyo ndo Bongo na Mawaziri wetu. Kipi bora Tanzania au CCM
 
Wanajidanganya, hawatakiwi hata huku chadema hatuwataki watu kama hao. na wakianzisha vyama watakuwa wamejiua kisiasa na kupoteza hata hivyo vihela walivyoiba serikalini
 
This is whacky 'news', but to say the least JK is part and parcel of ufisadi. Angekuwa kweli hahusiki hata chembe angehamaki na kughadhabishwa sana na matukio yote ambayo tumeyashuhudia tangia yale aliyoyarithi kwa Mkapa mpaka leo hii haya ya akina Mkulo na Nundu or whateva the name is. Hakuna mtu mwene power zaidi ktk nchi hii zaidi yake, angekuwa kweli against ufisadi angeweza kufanya several radical moves kuwawajibisha wahusika na kuweka jina lake ktk chati ya viongozi waliothubutu, but with 2+ years left in his last term that seems unlikely.
 
C Chami alisema hawezi kujihuzulu na kuachia ngazi kwani akifanya hivyo Wapinzani watachukua jimbo la Moshi Vijijini. Hiyo ndo Bongo na Mawaziri wetu. Kipi bora Tanzania au CCM

Bora jimbo liondoke watu wapate huduma stahiki kuliko jimbo libakie CCM watu waendelee kuteseka
 
Hawa wataanzisha saa ngapi na uku kuna tetesi kua watafunguliwa mashtaka ya ubadhirifu wa mali za umma na matumizi mabaya ya ofisi..na itadhihirika tu kwani ushahidi upo wazi na kila waziri mwizi atafungwa si chini ya miaka 30 jela cpati picha hawa madogo yani watatoka na mamvi ila wanabahati CHINA hawa wananyongwa
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.

Wzr kama maige atapokelewa na chama gani?

Kuna chama kinataka wa2 wezi/waongo? Atabaki huko huko magambani
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa kafala wakati wameshirikiana na baadhi ya vigogo.

waasi tu! au hii ndio kupima upepo

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
w
6.jpg

waanzishe chama chao wasije kuharibu nguvu ya chadema
hata hivo ubunge mtamu sio rahisi kuachia
 
Back
Top Bottom