Jimbo la longido 2015 kwa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la longido 2015 kwa chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lenkai, Apr 29, 2012.

 1. l

  lenkai Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwenyeji wa Longido, mimi ni msomi.Jimbo la Longido limekuwa katika mikono ya CCM miaka yote. jimbo hili limekaliwa na kabila la wamaasai, moja ya makabila maarufu sana Afrika ya mashariki, ni kati ya majimbo yenye utarijiri mkubwa, lakini utajiri huu umewanufaisha wakubwa wa CCM na watoto wao. Mimi nina uchungu sana na Jimbo langu na ndugu zangu wamaasai. Mimi ni kijana mdogo sana, ila ninajua mengi sana.Yako mambo ambayo wamaasai tumedanganywa.

  1. Tumeuzwa, kama wanyama wa pori, wazungu wanakuja na pesa zao kuja kuwaona wamaasai lakini pesa hizo zinaishia katika matumbo ya wakubwa.
  2. Viongozi wetu wanaotuongoza hawana elimu ya kuweza kujua yanayoendelea, wamebaki katika kudanganywa na serikal ya JK.

  Ndugu zangu wa Longido itakapofika wakati wenyewe ninawaomba mniunge mkono ili niweze kupata nafasi ya kuwatetea wanaLongido, nitatumia elimu yangu, mawazo yenu na ya CDM M4C, na ushauri wa watanzania wenye nia nzuri na Longido na Tanzania kwa ujumla, tuamke kwa sasa Longido for CHANGE.

  Tunamuomba Mhe. Lekule Mbunge wa longido kama ana mtu amemuandaa hatumtaki, asituchagulie mtu wake, yeye ameshindwa, ajiandae kutukabithi Jimbo letu, nae kwa heshima akapumzike.
   
 2. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ungeweka jina lako halisi ili tukutambue wana longido.
   
 3. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kaza buti kijana safari bado nindefu.
   
 4. l

  lenkai Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwezi wa saba 2012 nitajitambulisha rasmi,
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah! Unaonekana umepania sana..though all da best mkuu..
   
 6. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana. Tangaza nia nitakuja kukusapoti kwa nina mahusiano mazuri sana na jamii ya kimasai nimekua nao karibu ktk wilaya za Kiteto, Simanjiro, Monduli, Handeni na Kilindi-Tanga. M4C FWOREVER.
   
Loading...