Kura ya maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura ya maoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Falconer, Apr 29, 2012.

 1. F

  Falconer JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kwa Mujibu hali ya mambo inavyoendelea upande wa Zanzibar, sina shaka ila kuwataka viongozi wa serikali iliopo madarakani kuzingatia uwezekano wa kura ya maoni kabla mchakato wa katiba kuendelea. Kwa kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia, wakuu wafanye bidii ya kuhakikisha demokrasia inadumu. Wazanziabri walio wengi nchini mwao wanaona, kutinga katiba mpya bila ya kwanza kuwataka ushauri wananchi juu ya mustakbali wa taifa lao sio sawa bali ni kuwanyanyasa kifikra na mawazo. Liliopo sasa hivi kuitishwe kura ya maoni na kuamua kama tunataka muungano au laa. Kama muungano umepita basi tuendelee na mchakato wa katiba na kama haukupita, tuangalie njia nyingine ya mashirikiano kwa mustakabali wa raia wa nchi zote mbili. venginevo ni kujaribu kuhalalisha jambo ambalo ni haramu.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nakubalianan na wazanzibari. Kama hawataki muungano basi wajitenge, haitatupunguzia chochote sisi wabara.
   
 3. M

  Mkira JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35


  kura ya maoni haikwepeki, TENA MZEE WARIOBA USIKUBALI KUFUATA TERMS OF REFENCE ETI MUUNGANO USIJAGILIWE HUO UTAKUWA MTEGO WA JK KUKUMALIZIA HESHIMA YAKO WANA KAMATI YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MSIKUBALI ETI KUTOJADILI MUUNGANO!!!!

  MAONI YANGU REFERENDUM YES YES, YES. TENA IANZIE ZANZIBAR

  (1) SWALI KWANZA MNATAKA MUUNGANO?

  jIBU
  (1)NDIO
  (2)HAPANA


  (1) SWALI PILI KAMA JIBU NI NDIO MNATAKA MUUNGANO,

  (2) SERIKALI TATU HAPANA JE MNATAKA ZA MAJIMBO?

  (3) KAMA WANATAKA ZA MAJIMBO THEN KAZI IMEISHA TUTAKUWA NA MAGAVANA NA TUTAKUWA NA THE UNITED REPBLIC OF TANZANIA YENYE MAANA HALISI.


  (4) SWALI NNE KAMA JIBU NI KUWA HAWATAKI MUUNGANO,


  (5) BASI WAWE NA SRIKALI YAO NA SISI TUWE NA TANGANYIKA NA TUHESHIMU MAWAZO YAO THEN HAKUNA MUUNGANO BALI WAOMBE UANACHAMA KATIKA JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI ILI IWE NA NCHI SITA.  HILI LA TANO LIKITOKEA FAIDA YAKE ITAKUWA KUBWA SANA KWA KUIKOMBOA CCM KUTOKA KATIKA UTUMWA WA KUBEMBELEZA NA KUWAHONGA VYEO BANDIA WAZANZIBAR KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI , UJEMBE WA CC, NEC NK

  NA HAKIKA WANA MAAMUZI MAKUBWA KWENYE CCM NA WANAWEZA KWA MAKUSUDI KWA KUTUMIA WINGI WAO KATIKA CC AU NEC YA CCM WAKATUMIA KURA ZAO NDANI YA CCM 2015 ILI KUMPITISHA MGOMBEA URAIS TOKA BARA AU ZENJI KWA TIKETI YA CCM(KWA KUWA NI DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA, ATAPITA!!( ATAKAE SHINDWA KIULAINI NA MGOMBE WA UPINZANI NA HAPO NDIPO WALIOKO MADARAKANI KWA SASA WATAJUA AHAA KUMBE HUU ULIKUWA MUUNGANO FEKI BUT IT WILL BE TOO LATE NA CCM ITAGEUKA KUWA CHAMA CHA UPINZANI CHINI YA SERIKALI ZA MAJIMBO NA KATIKA MAENDELEO YA WANACHI WENGI KWA KASI NA WAJIBIKAJI WA HALI YA JUUU!!!!!!!!!! NI MAWAZO YANGU TU
   
 4. F

  Falconer JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Bila shaka tumemsikia Mh. Mbowe, Jenerali Ulimwengu na viongozi kadha wa kadha wakilizungumza hili. Changamoto kwa wanachi maana ikiwa suala la muungano halijapata ufumbuzi itakuwa ni mambo yale yale. Wazanzibari wata lalamika kila leo kuwa wanaonewa. Jibu kwanza ni khatma ya muungano kupitia kura ya maoni halafu ndio kujadili mchakato wa katiba mpya. Whats a big deal about this?. Napendeekeza kabisa kuwa hata serikali ya chadema ikichukuwa uongozi wa tanzania, wahakikishe suala hili wamepewa wanachi walijadili.
   
Loading...