CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini

KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
5,834
Points
1,195
Age
49
KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
5,834 1,195
Heshima kwenu Wanabodi, Nilikuwa naperuzi Gazeti la Mwananchi nikakutana na hii Habari, Ebu tuisome kisha tuijadili ukiisoma hii habari unapata kujua kiwango na uwezo wa kufikiri wa viongozi na Makada wa CCM.Yaan utafikiri wakati wanaojiwa wanakuwa wametoka usingizini!

Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda alisema kuwa, licha ya Lema kuwasumbua katika kipindi chote cha uchaguzi na ubunge wake, hawezi kushinda hata akisimama kwa mara nyingine.

“Lema mtoto wa mjini kweli kweli, aliweza kutusumbua tangu kwenye kampeni hadi kwenye kipindi cha ubunge, lakini sasa hivi hata akisimama tena hawezi kushinda, kwa sababu amekiuka sharia na taratibu za kanuni za uchaguzi,” alisema Chatanda.

Aliongeza kutokana na hali hiyo chama hicho kimejipanga upya ili kuhakikisha kuwa jimbo hilo linarudi mikononi mwao jambo ambalo litaweza kuwavunja nguvu wanachama wa Chadema mkoani humo.

Alisema CCM iko makini licha ya kuwepo kwa tofauti za hapa na pale ambazo zimeweza kuwaondoa baadhi ya wanachama wa chama hicho mkoani humo, lakini ni mwendelezo wa kuwaondoa wanachama wanaokwenda kinyume na sharia za chama chao, jambo ambalo limewafanya baadhi yao kujiondoa wenyewe.

“Sio hao tu, kuna wengine nao wako njiani wanaweza kuondoka wakati wowote, lakini mkakati wetu utabaki pale pale, ni kuhakikisha kuwa, majimbo ya CCM ya mkoa wa Arusha ambayo yamechukuliwa na upinzani yanarudi,” aliongeza.

Source:Mwananchi!
 
M

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
966
Points
250
M

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
966 250
unajua bw.komba jr ktk maisha ogopa sana kuwa mbali na jamii unayodhani unaiongoza,hawa viongozi wa ccm wanaishi mbali sana na wananchi,umbali huo si wa kimakazi bali kifikra,wananchi wanayofikiria khs wao huku site kwa kweli wasingalithubutu hata kutamka huo ugoro,bt hii ndiyo hali halisi kuwa tuna viongozi wasio wabunifu walevi wa madaraka na waliokosa utashi wa kisiasa.nionavyo mimi ni anguko la ccm kuanzia 2012,ktk uchaguzi wao ndani ya chama.hakuna mwenye jeuri ama uwezo wa kushindana na lema pale arusha na wanachoshindwa kuelewa ni jambo dogo kuwa lema ni mali ya wananchi na sio mali ya cdm au familia yake.lema ni mtu wa watu na ndiyo maana watu wapo tayari kupigia kura jiwe kuliko mgombea wa ccm,they need to think big otherwise nothng to earn kama ndo njia za kusema watawavunja moyo wana arusha si rahisi totally wrong.
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Points
1,250
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 1,250
Heshima kwenu Wanabodi, Nilikuwa naperuzi Gazeti la Mwananchi nikakutana na hii Habari, Ebu tuisome kisha tuijadili ukiisoma hii habari unapata kujua kiwango na uwezo wa kufikiri wa viongozi na Makada wa CCM.Yaan utafikiri wakati wanaojiwa wanakuwa wametoka usingizini!

Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda alisema kuwa, licha ya Lema kuwasumbua katika kipindi chote cha uchaguzi na ubunge wake, hawezi kushinda hata akisimama kwa mara nyingine.

"Lema mtoto wa mjini kweli kweli, aliweza kutusumbua tangu kwenye kampeni hadi kwenye kipindi cha ubunge, lakini sasa hivi hata akisimama tena hawezi kushinda, kwa sababu amekiuka sharia na taratibu za kanuni za uchaguzi," alisema Chatanda.

Aliongeza kutokana na hali hiyo chama hicho kimejipanga upya ili kuhakikisha kuwa jimbo hilo linarudi mikononi mwao jambo ambalo litaweza kuwavunja nguvu wanachama wa Chadema mkoani humo.

Alisema CCM iko makini licha ya kuwepo kwa tofauti za hapa na pale ambazo zimeweza kuwaondoa baadhi ya wanachama wa chama hicho mkoani humo, lakini ni mwendelezo wa kuwaondoa wanachama wanaokwenda kinyume na sharia za chama chao, jambo ambalo limewafanya baadhi yao kujiondoa wenyewe.

"Sio hao tu, kuna wengine nao wako njiani wanaweza kuondoka wakati wowote, lakini mkakati wetu utabaki pale pale, ni kuhakikisha kuwa, majimbo ya CCM ya mkoa wa Arusha ambayo yamechukuliwa na upinzani yanarudi," aliongeza.

Source:Mwananchi!
Achana na huyu mary kitanda, amechanganyikiwa baada ya kushuhudia ccm arusha ikifia mikononi mwake.
Hawezi kukiri kwamba ccm arusha imekufa, lazima aendelee kuwapa matumaini wakubwa wake kwamba kazi inaendelea.

Lakini kama katibu mkuu wa chama chake anafuatilia kwa makini mwenendo na utendaji wa katibu huyo wa ccm mkoa wa arusha angeshamuondoa siku nyingi ili kuinusuru ccm lakini kwakuwa ni sikio la kufa hakuna anayeona anguko lao, hadi watakapojikuta wako upande wa upinzani ndipo akili itawajia.
 
KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
5,834
Points
1,195
Age
49
KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
5,834 1,195
unajua bw.komba jr ktk maisha ogopa sana kuwa mbali na jamii unayodhani unaiongoza,hawa viongozi wa ccm wanaishi mbali sana na wananchi,umbali huo si wa kimakazi bali kifikra,wananchi wanayofikiria khs wao huku site kwa kweli wasingalithubutu hata kutamka huo ugoro,bt hii ndiyo hali halisi kuwa tuna viongozi wasio wabunifu walevi wa madaraka na waliokosa utashi wa kisiasa.nionavyo mimi ni anguko la ccm kuanzia 2012,ktk uchaguzi wao ndani ya chama.hakuna mwenye jeuri ama uwezo wa kushindana na lema pale arusha na wanachoshindwa kuelewa ni jambo dogo kuwa lema ni mali ya wananchi na sio mali ya cdm au familia yake.lema ni mtu wa watu na ndiyo maana watu wapo tayari kupigia kura jiwe kuliko mgombea wa ccm,they need to think big otherwise nothng to earn kama ndo njia za kusema watawavunja moyo wana arusha si rahisi totally wrong.
Mkuu Umeliweka sawa kabisa na umetulia u desrve like!Ukweli ambao pia wanausahau ni kuwa kukubalika kwa LEMA na wanaArusha akukuanza jana na amejenga hiyo imani kwa muda mrefu siyo kwenye kampeni sasa wao wanafikiri wataleta tu mtu kutoka huko wakujuako wao na kuwa mbunge yaan kama wanapanda mti vile!Sasa Unaweza Pima maelezo ya Katibu wa Mkoa anakiri kuwa lema ni kijana wa mjini aliwasumbua sasa wamepata wapi dawa ya kumdhibiti?
 
Forum statistics

Threads 1,285,258
Members 494,502
Posts 30,855,805
Top