Jamani wananchi wa manispaa ya musoma mbona barabara zetu hazitengenezwi sasa na mitaro hata ya kupitisha maji machafu hakuna....nwasilisha kwa wahusika
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 April 2012
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda aweza kujiuzulu wakati wowote kwa kile kilichoelezwa ni kulinda hadhi yake, MwanaHALISI limeelezwa.
Taarifa kutoka mjini...
Kwa kuwa humu jamvini watu wako wazi saana na W J Malecela watu wamekuelekeza labda ukagombee Jimbo la mtera 2015, je kwa hili la wizi na ukosefu wa uwajibikaji wa serikali ungekuwa upande gani...
Nape Nnauye
‎(('....TOKA MOYONI MWANGU...
Kwanza nianze kwa Kuipongeza Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM. (CC) Kwa kukutana na kufikia maamuzi ya busara na yenye tija kwa Taifa.
Na...
Katika kipindi cha majadiliano leo saa kumi na mbili jioni kilichorushwa na Sauti ya Ujerumani kikishirikisha jopo la watu wanne Jenerali Ulimwengu amekuwa muwazi na kusema kuwa huwezi kujadili...
Wakati tunaelekea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya nadhani sasa ni wakati muafaka wa kujiuliza as a Nation what's our National Ethos,je tunayo na kama hatuna don't you think is now a right...
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema
Kwa takribani mwezi mmoja hivi...
Wanahabari wa Sumbawanga waliojipambanua dhahiri kama makada na washabiki wakubwa wa ccm leo wamepata kichapo na zomea zomea ya nguvu ya umma pale mahakama ilipotengua ubunge wa bw aeshi. Kadhia...
Ninaushaur mdogo kwa makamanda wa chadema,mimi pia ni kada wa chadema,na support chadema coz we need changes lakin tunakua na waswas kwamba mkipata madaraka kutakuwa na udictator kutokana na...
Heshima kwenu Wanabodi, Jana Gizakuu alianzisha Thread hapa yenye kichwa cha habari Lowasa Hoi Tena na katika maelezo yake ameeleza kuwa alipitishwa airport akirudishwa kwenye matibabu kutokana na...
Leo Presidenti JK amekiri kuwa kumbe kuna aina fulani ya mikataba ndio isainiwe na nchi mbalimbali ili vijana wenzetu wapati kwenda nchi za nje kikazi na kupata kujifunza mengi kabla ya kurudi...
Ziko habari kwamba katika harakati za kujipanga kwa urais wa 2015, waziri Membe amekuwa akihamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania na kwamba hivi karibuni atakuwa na kongamano la wanafunzi wote...
Naomba msaada RS(regional secretariat) ni kitengo cha CCM kama chama au maana nimeangalia tbc nakumwona Nape akitangaza uteuzi wa hao makatibu wa Mikoa Mipya.am confused!!
wana jf, salaamKufuatia wimbi la mageuzi ya kisiasa kushika kasi hapa nchini, baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa wamesikika kwa nyakati tofauti wakisema kuwa eti CCM imepungua mvuto mbele ya...
Ndugu Watanzania ni vizuri tukafuatilia kwa Umakini mkubwa uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi[CCM] kwasababu kwa mujibu wa Katiba ni chama kilicho na ridhaa ya...
katika hotuba ya utambulisho katibu wa shirikisho la wafanyakazi tanzania(TUCTA) ndg nicolous mgaya amesikika akitambua uwepo wa balozi wa denmark na akatambulisha kuwa denmark ni wafadhili wa...
Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya...
Ndugu wana Jamii,
Napenda kutoa mapendekezo yangu kuhusu raisi aliyepo madarakani anapogombea kipindi chake cha pili ku kabidhi madaraka ya Uraisi either kwa Speaker wa Bunge au Jaji Mkuu na yeye...
Leo ni siku ya wafanyakazi duniani. JK atazungumza na wafanyakazi kupitia sherehe za mei mosi. Atakuwa na jipya la kuwaambia wafanyakazi maana amekuwa hatekelezi ahadi zake?
Amesahau...