dictatorship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dictatorship

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lady roranky, May 1, 2012.

 1. l

  lady roranky Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaushaur mdogo kwa makamanda wa chadema,mimi pia ni kada wa chadema,na support chadema coz we need changes lakin tunakua na waswas kwamba mkipata madaraka kutakuwa na udictator kutokana na baadhi ya makamanda wanadictate women's kufanya nao mapenz kwa sababu ya majina yao,na kuwatishia kuwa watawaharibia mambo Yao wasipo kubal kufanya ivyo....,dis z too bad hope u people mna exposure ya kutosha ,ushaur wangu ni kwamba mjitaid Ku control ur bad personal behavior ili msitutie mashakani,,
   
Loading...