CCM wazidi kutimkia chadema Mbeya

Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
3,487
Likes
9
Points
135
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
3,487 9 135
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chademaKwa habari zaidi ingia MBEYA YETU ona jinsi wenyeviti wa serikali za mtaa wanavyo timkia CHADEMA

Kwa takribani mwezi mmoja hivi sasa CCM imepoteza zaidi ya wenyeviti wa mitaa wapatao watano, ambao wameamia CHADEMA na mwingine aliposimamishwa kugombea wadhifa huo aliibuka na ushindi wa kishindo katika Mtaa wa Nonde Bwana Ezekiel King, ambaye pia alishawahi kuwa golikipa wa Tukuyu Stars na Mapinduzi Stars ya Mbeya, mtaa anaoishi Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Bwana Athanas Kapunga.

N

nbisumba gutila

Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
19
Likes
0
Points
0
N

nbisumba gutila

Member
Joined Sep 20, 2010
19 0 0
Karibuni nyumbani tutafute wote ukombozi wa nchi hii.
Chadema vema
 
H

hans79

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Messages
3,802
Likes
26
Points
145
H

hans79

JF-Expert Member
Joined May 4, 2011
3,802 26 145
pole pole haka kamwendo tutafika tu.
 
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
1,242
Likes
4
Points
0
Age
33
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
1,242 4 0
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness
Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema

Bi Happiness akivishwa skafu ya chadema
 
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
1,242
Likes
4
Points
0
Age
33
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
1,242 4 0
Mapambano yanaendelea!
 
Ufunuo

Ufunuo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Messages
565
Likes
11
Points
35
Ufunuo

Ufunuo

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2011
565 11 35
Jamani ile kauli ya vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imepotelea wapi?
 
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
3,487
Likes
9
Points
135
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
3,487 9 135
Jamani ile kauli ya vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imepotelea wapi?
ilitumika kipindi cha kampeni kuwahamasisha watu na ilikufa siku si nyingi
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
409
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 409 180
Aiseeeeeee...
 
james chapacha

james chapacha

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
942
Likes
19
Points
35
james chapacha

james chapacha

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
942 19 35
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chademaKwa habari zaidi ingia MBEYA YETU ona jinsi wenyeviti wa serikali za mtaa wanavyo timkia CHADEMA

Kwa takribani mwezi mmoja hivi sasa CCM imepoteza zaidi ya wenyeviti wa mitaa wapatao watano, ambao wameamia CHADEMA na mwingine aliposimamishwa kugombea wadhifa huo aliibuka na ushindi wa kishindo katika Mtaa wa Nonde Bwana Ezekiel King, ambaye pia alishawahi kuwa golikipa wa Tukuyu Stars na Mapinduzi Stars ya Mbeya, mtaa anaoishi Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Bwana Athanas Kapunga.

SISIEM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! kudadadekiiiii
 
kibol

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Messages
4,170
Likes
1,597
Points
280
Age
58
kibol

kibol

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2012
4,170 1,597 280
God is great olways,vita hii cdm wanashinda muda si mrefu.bravo mbeya people
 
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
3,078
Likes
15
Points
135
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
3,078 15 135
'wanawake wanaoama ccm, wamepoteza mvuto kwa waume zao' by Nepi
 
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
5,989
Likes
1,994
Points
280
Mzizi wa Mbuyu

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
5,989 1,994 280
Jamani ile kauli ya vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imepotelea wapi?Aliyeitoa ni mtu mwenye upeo mndogo mno kama sisismizi!

Lkn cha ajabu anaongoza watu!
 
Xuma

Xuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
646
Likes
36
Points
45
Xuma

Xuma

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
646 36 45
Jamani ile kauli ya vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imepotelea wapi?
*

Hivi hii kauli alitoa nani vile marope au jk?? naomba nikumbushwe jamani!
 
Forum statistics

Threads 1,273,086
Members 490,268
Posts 30,470,815