Je ni halali Nape kutangaza uteuzi wa makatibu Mikoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni halali Nape kutangaza uteuzi wa makatibu Mikoa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halfcaste, Apr 27, 2012.

 1. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Naomba msaada RS(regional secretariat) ni kitengo cha CCM kama chama au maana nimeangalia tbc nakumwona Nape akitangaza uteuzi wa hao makatibu wa Mikoa Mipya.am confused!!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Tz kila kitu kinawezekana,tz zaid ya uijuavyo
   
 3. S

  S.N.Jilala JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Kaka nmesikia mimi anatangaza makatibu wa Chama Cha Mafisadi.
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  .
  Makatibu wa chama chake sio makatibu tawala.
  Mimi ndivyo nilivyoelewa.
  .
   
 5. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hao ni makaimu katibu wa mikoa kwa upande wa chama(CCM) na si vinginevyo.
   
 6. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hao ni makatibu wa chama chake sio RAS.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Makatibu wa chama.....sio RAS!!
   
 8. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hapo nimeelewa sasa,thanx Jf
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Got the right to get confused. If you are unable to draw a difference between the two positions, how, then, can you be able to know if Nape was right or wrong?
   
 10. D

  Deofm JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chama kimeshika hatamu
   
 11. k

  kibiloto Senior Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni haki yake yeye ndiye msemaji wa chama na siyo yeye aliyewateua kazi yake ni kutoa taarifa za chama chake
   
 12. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Makatibu wa magamba anaruhusiwa sana!
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hujui kazi yake baada ya watu kuteuliwa yeye anaeneza uko hapo.
   
 14. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You shouldn't be confused! Hiyo ndio kazi yake! Yeye ni katibu mwenezi. Nafikiri unachanganya mambo mawili hapa: kutangaza na kuteua!
  Kuteua hakupo kwenye mamlaka yake ila kuuhabarisha umma juu ya mambo yoyote yanayohusu ama kuamuliwa na chama ni jukumu lake.
  Natumaini umenielewa hapo.
   
Loading...