Ziko habari kwamba katika harakati za kujipanga kwa urais wa 2015, waziri Membe amekuwa akihamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania na kwamba hivi karibuni atakuwa na kongamano la wanafunzi wote wa vyuo vikuu kwa ajili ya kuzindua harakati zake. Mwenye habari zaidi atujuze.