Wanahabari Sumbwanga wapata kichapo toka kwa mashabiki wa CHADEMA

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Wanahabari wa Sumbawanga waliojipambanua dhahiri kama makada na washabiki wakubwa wa ccm leo wamepata kichapo na zomea zomea ya nguvu ya umma pale mahakama ilipotengua ubunge wa bw aeshi. Kadhia hiyo ilijitokeza kwa bw Sami Juma Kisika “ambaye ni repoter wa RFA Rukwa, afisa uhusiano wa Manispaa Ya Sumbawanga na katibu wa klabu ya waandishi wa habari Rukwa” na pia bw Musa Hassan mwangoka mwandishi wa gazeti la mwanachi na katibu msaidizi wa kalabu ya waandishi wa habari Rukwa.

Waandishi hao walionekana kushabikia dhahiri ccm na bw Aeshi kwani walishashindwa kuripoti lolote tangu kesi hiyo ifunguliwe mwaka juzi sababu kubwa ni kuogopa kumdharirisha mpendwa wao bw Aeshi, lakini leo wakati wa hukumu walifika mahakamani huku wakijua fika mpendwa wao bw Aeshi ataibuka kidedea kwa bahati mbaya mategemeo yakawa tofauti kabisa na hivyo mara tu baada mahakama kuu kumvua ubunge bw Aeshi hasira za mashabiki zikawageukia wao kwa kuwazomea na kuanza kuwapa kichapo bahati yao wanausalama wakawakoa.

Kwa sasa bw Sami Juma kisika ni mjumbe wa baraza la uvccm na amekuwa akionesha upendeleo wa wazi kwa ccm kwa kuwa na interest na ccm hali ambayo kwa wanasumbawanga wamekuwa wakikeleka kwa hilo kwani zaidi ya afisa uhusiano wa manispaa pia ni msimamizi mkuu wa Sumbawanga Tv sasa jamaa ni bias sana huwa habalance stori na kila mara Sumbawanga Tv ni ccm tu.
Wakuu kama wapo watu wenye tabia kama hawa waandishi njaa au uchwara ni vema wakajipambanua wakawa kwenye vyombo vya vyama husika na si vyombo vya umma kama TBC kwani nguvu ya umma inakuja kwa kasi sana
 
dah! inasikitisha kuona kuna watu bado hawajui upepo unapoelekea....ccm ni chama kikuu cha upinzani by 2015
 
Waandishi njaa ndio wanaoupotosha ukweli.
Nakumbuka hata taarifa za mwendelezo wa kesi ilikuwa imepotoshwa kwa kiwango kikubwa, kiasi kwamba wengine tulidhani Aeshy anashinda
 
Aibu kwa makanjanja hao!Waandishi kama marefa wanaweza kuinfluence wanannchi na hata maamuzi so tunamshukuru MUNGU kuwa ufisadi wao haukuleta madhara waliyokusudia.
 
Waandishi njaa ndio wanaoupotosha ukweli.
Nakumbuka hata taarifa za mwendelezo wa kesi ilikuwa imepotoshwa kwa kiwango kikubwa, kiasi kwamba wengine tulidhani Aeshy anashinda

Nchi yetu ni ya amani, CDM mnashabikia vurugu
 
Ni rahisi waandishi wa habari kununiliwa lakini si mwanaJF makini. Siku zote nina imani sana na forum hii.

Wache wajidhalilishe bora JF ipo kila kiti kitakuwa wazi tu.
 
Wangewachinja na kuwaulia mbali hao waandishi wa habari-ccm.
 
Otherwise it has been a good day with some good points to take forwad. To all CDM and good citizens BIG UPS sana!
 
Wahandishi wengi wa habari hapa Bongo wamekuwa washabiki wa siasa za KiCCM, hasa kwa ajili ya maslahi, inashangaza kuwa hawajifunzi kwa wale ambao wanaandika ukweli wanavyoheshimika kwenye jamii. Waandishi kama Ulimwengu, Mbwambo na wengine wachache wenye mapenzi mema na nchi hii.
 
Ni rahisi waandishi wa habari kununiliwa lakini si mwanaJF makini. Siku zote nina imani sana na forum hii.

Wache wajidhalilishe bora JF ipo kila kiti kitakuwa wazi tu.

mwanajf hanunuliki sababu hajulikani wala hapatikani. ni yeye na button tu basi. Na hii inawaumiza sana mafisana sababu hawajui nani ni nani na nani atatoa taarifa jf. wanazuia kushoto kulia panavuja. mwaka huu wanalo.
 
si ustaarabu kuwatakia wenzio kifo

ccm wanatuua kila siku, blue band fake, bidhaa fake, wakinamama wanakufa hospitali kila siku, mabomu ya mbagala, ukonga etc, sasa na sisi wananchi tukipata chance tuwauwe tu....
 
kuna dogo mmoja wa TBC doto athumani kama yupo ajifunze
ubaya wa kushabikia chama badala ya kuripoti matukio halisi
bila kuwa bias, sishabikii kichapo ila hukumu ya waandishi kama hawa wasiojua dhana ya uandishi
dawa yao ndio hiyo. zomea zomea hadi wahame mji,
 
kuwazomea sawa lakini kuwapa kichapo hapana...tuwe wavumilivu na furaha yetu isipitilize kiasi hicho...!
 
Back
Top Bottom