What's our Natinal Ethos? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What's our Natinal Ethos?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, May 1, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Wakati tunaelekea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya nadhani sasa ni wakati muafaka wa kujiuliza as a Nation what's our National Ethos,je tunayo na kama hatuna don't you think is now a right time to find one?

  Mods naombeni hii muiache hapa na isipelekwe jukwaa la katiba mpya,please!
   
 2. F

  FOEL Senior Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sr. Unaishi Tanzania au na wewe uko majuu kama bro. William.

  Nation Ethos ya Tanzania ni "bora liende system" hakuna anayejua Ethos ya Tanzania hata boss mkubwa hajui hili.

  Ujamaa na kujitegemea ulibaki vitabuni baada ya kuandikwa na Mwl.

  Mwinyi aliamini kwenye soko huria
  Ben akaja na uza uza system
  Jk bado anatafuta system
   
Loading...