Pharaoh
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 843
- 157
Leo Presidenti JK amekiri kuwa kumbe kuna aina fulani ya mikataba ndio isainiwe na nchi mbalimbali ili vijana wenzetu wapati kwenda nchi za nje kikazi na kupata kujifunza mengi kabla ya kurudi kujenga nyumbani.
Sisi tulihangaika sana nchi za nje kutafuta kazi, lakini miaka hiyo wenzetu wa nchi nyingine walipewa vibali haraka, sisi watanzania tuliambiwa nchi yenu haipo katika idadi ya nchi yenye mikataba ya kuleta nguvukazi, mfano ulaya waliokuwa wanapeta ni raia toka Bangladesh, Ghana, Kenya, Misri, Morocco, Nigeria, Senegal, India, Brasil, Ufilipino na nyingine nyingi tu.
Jk amekiri Tanzania ilikuwa nyuma kwa hilo, Hongera.
pia amekiri kiswahili hakitupeleki popote, Hongera.
Mimi nitakuwa naongea English nyumbani kwangu, potelea mbali wajinga wanisema bishoo.