CCM katikati ya ufisadi na madhara yake kwa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM katikati ya ufisadi na madhara yake kwa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajilae, May 1, 2012.

 1. m

  mwakajilae Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Watanzania ni vizuri tukafuatilia kwa Umakini mkubwa uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi[CCM] kwasababu kwa mujibu wa Katiba ni chama kilicho na ridhaa ya kuwaongoza Watanzania,japo kinatawala baadala ya Kuongoza.

  Uchaguzi ndani ya CCM unaishara kubwa za Rushwa,madhara yake ni kuzidi kushamiri kwa ufisadi ndani ya Serikali yake,kwani aliyeingia kwa Rushwa,hawezi kushindwa kuihujumu nchi na Taifa,matokeo yake ni jamii ,nchi na Taifa kuendelea kuto tawalika.

  Pia kuna mikoa hapa nchini inaongoza kwa kuwa na Utajiri mkubwa wa raslimali,ni mikoa ambayo vigogo wakubwa wanaishi,makampuni makubwa yamewekeza,lakini huduma za kijamii ni kama ahela!!! hii nini maana yake?

  Angalia Hospitali ya Mwananyamala katika Mkoa wa kinondoni!!
  Angalia tatizo la Maji kimara na Makampuni ya Simu na Vigogo!!
  Sakata la IPTL-Makubwa yanaibuka.

  Fuatilia Jarida hili linalotolewa na Integrity Watch,asasi ya Jamii inayochunguza masuala mbali mbali ya Rushwa,Utawala bora na Uwajibikaji.

  Karibu tujadili huku ukisoma jarida hili ninalo liambatanisha.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mpambanaji K Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu nimeona Tanzania ilivyo chafuka. kazi kweli kweli
   
 3. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for the attachments. However this is not breaking news. Haya mambo yako wazi. Itabidi tufukue mpaka makaburi yao hata waliotangulia mbele ya haki.

  You all remember what happened after fall of the Soviet Union. Akina JK should think twice what might befall their children. Ndiyo maana wameanza kufikiria dual Citizenship.

  Tutawafuata Huko tutatumia polonium kuwateketeza come after the fall of CCM 2015. Waache wajilimbikizie mali their days are numbered.
   
Loading...