Hivi JK kaelezea hoja ya kuongeza mshahara na kupunguza kodi?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hayo kayaongekea au kayakimbia ndo yamuhimu ya mafisadi ni bungeni na huko serikalini. Na mawaziri je
 
hakuna alichoongea zaidi ya porojo zake za kawaida na kuishia kulalamika na kuorodhesha matatizo bila suluhisho lolote! anasema anasikitishwa na ripoti ya CAG! Solution???anasikitishwa na wanaogeuza pesa za serikali kama ubani wa msibani suluhisho?? anasikitika na hali duni ya wafanyakazi solution??? ni mzee wa porojo tuu hana jipya!!!
 
Hiyo iliyoko sasa hivi kuilipa ni ngumu mpaka akope, aongeze alipe na hela ipi
 
Back
Top Bottom