Kwako Dr Kigwangalla: Sahihi yako hatujaiona

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas?
 
Nilidhani na yeye amekerwa na ufisadi wa wizara kumbe hovyoooooo!!!!!!

Sikuhizi ameikimbia jf, yupo tanuru ya Africa
 
hasa ukizingatia wizara ya afya imetajwa kuwa moja ya wizara zenye ufisadi.
pili yeye ni mjumbe wa kamati ya kudumu ya huduma za jamii.
na kuna kipindi aliwahi kushutumu kamati yake eti iliburuza wajumbe kupitisha bajeti.

dr hamisi njoo ujibu tuhuma huku.....
 
.......Hana uwezo wa kuweka sahihi, anajua yaliyomkuta wakati alipoanzisha operation AMKA NZEGA na alijuta kuwa mbunge mpaka akawaomba msamaha wawekezaji............
 
Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas?
Dr kigwangalah na January makamba niwabinafsi wao wanachowaza ni kuteuliwa kuwa mawaziri hawana jipya...watanzania ripoti ya CAG imetupa mwanga wakujua namna rasirimali za nchi hii zinavyotafunwa!wanaharakati na vijana tuhamasishane KUWAZOMEA mawaziri wote ambao wizara zao zinaongoza kulitafuna taifa.
 
Nilidhani na yeye amekerwa na ufisadi wa wizara kumbe hovyoooooo!!!!!!

Sikuhizi ameikimbia jf, yupo tanuru ya Africa

iyo tanuru la akina Abdi,juma,khalfan,issa,wanadanganyana mkuu.lile ni jukwaa la Udini.
 
Hamis bagaile ana stress kwani alikemewa kuna anashikiza mgomo.HAJIAMINI HUYO MCHUMIA TUMBO.
 
Zitto ameweka hoja iliyotufanya tuwatambue wapambanaji wa kweli na wanafiki wa njii hii.
Kama mzee Mrema amesaini wakati tulidhani yeye ni kibaraka na mnafiki kumbe wanafiki wengne wako.
Yuko wapi J.Makamba, Ole Sendeka, Stela Manyanya, Peter Serukamba, Ally Keissy Mohamed
 
Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas?

Mtawajua tu Magamba kadri siku zinavyokwenda...Sio kila anayelia msibani kwa nguvu ana-uchungu na wewe. No, wengine wanawaza deni lake, anatafuta namna ya kusindikiza mwili ili akaoshe macho (siunajua maisha yapo juu kusafir ni inshu). So, makamanda wa ukweli siku zote ni wale wanaoweza kufanya maamuzi magumu sio kubwabwaja Bungeni.
 
Zitto ameweka hoja iliyotufanya tuwatambue wapambanaji wa kweli na wanafiki wa njii hii.
Kama mzee Mrema amesaini wakati tulidhani yeye ni kibaraka na mnafiki kumbe wanafiki wengne wako.
Yuko wapi J.Makamba, Ole Sendeka, Stela Manyanya, Peter Serukamba, Ally Keissy Mohamed

keissy kasain mkubwa.
 
cdm wakiitumia hii move vizuri wataimaliza ccm kiulani .. wanachotakiwa ni kuzunguka majimbo yaliyo chini ya ccm na kuwaeleza wananchi kuhusu unafiki wa wabunge waliowachagua. Wabunge wa ccm mna wakati mgumu sana
 
Back
Top Bottom