Kesho jumamosi tundu lisu na halima mdee ndani ya moro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho jumamosi tundu lisu na halima mdee ndani ya moro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, May 4, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM Kinatarajia kuwa na MKUTANO KICHANGANI MOROGORO Mjini mchana.MAKAMANDA wote wa SUA,MZUMBE,MUSLIM UNIVERSITY,ARDI na JORDAN UNIVERSITY Msikose.Pia wananchi kwa ujumla shime tusiangushane.Njoo tujipange saa ya Ukombozi ni sasa.
   
 2. M

  Mtanganyika mweusi Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mda gani mkuu
   
 3. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Peoples power, Hii ni saa ya ukombozi nasikia mfalme atakuwepo.
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  good move, viva m4c
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sorry mfaume yupi? maana kibongo wasan wapo wawili wanaotumia hilo jina mfaume yusufu na afande sele, hope utakuwa unamuongelea sele, huyu jamaa bado ni dumila kuwili jion hii clous fm anasema atajiunga CUF o CHADEMA na kutanga nia yake ya kugombea ubunge moro town. bado sitaki nataka.
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mapambano na yaendelee!!
   
 7. K

  Kyindokyakombe Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda wa mkutano ni kuanzia saa sita mchana kwa sasa kuna gari la matangazo linapita sehemu mbalimbali likitangaza.makamanda njooni na kombati zenu tumechoka kuona nchi inaliwa na wajanja.
   
 8. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyo mfalme ni nan mkuu? Au una maanisha Afande Sele!? Nasikia nae anataka kuingia ulingo wa siasa, but sijui ni kwa chama gani
   
 9. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama kuna mtu anaijua CV ya Afande Sele aitupie hapa
   
Loading...