Mawaziri Wataapishwa Wote Waliotangazwa leo? Nifahamishwe Tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri Wataapishwa Wote Waliotangazwa leo? Nifahamishwe Tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 4, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wajamaani nimesikia Jumatatu ijayo ni kuapishwa mawaziri. Napenda kupata ufafanuzi; wataoapishwa ni wale waliochaguliwa kwa mara ya kwanza ama wote (Akina Nchimbi, Mkuchika, Prof. magembe, Prof. mwandosya, Ghasia nk. watakula kiapo tena?
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  ni mawaziri na manaibu wapya.. at least that is how it should be.
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asante kwa ufafanuzi, huku mtaani kuna watu walikuwa wanapotosha kuwa wote waliotajwa leo;
   
 4. C

  Christiano Ronaldo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wale waliobadilishiwa wizara na wale wapya kabisa lazima waape kwani unaapa kwa wizara uliyopewa pia. Lakini katika mazingira haya ambapo hata waliobaki kwenye nafasi zao zile zile wametajwa upya, nadhani wote kabisa wataapa.
   
 5. R

  RIVI SHIRIMA Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani mkataba wao umevunjika kwako lazima warenew
   
Loading...