Chadema Washngiton DC 100%; CCM (USA-UK ) 00.0 % | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Washngiton DC 100%; CCM (USA-UK ) 00.0 %

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by environmental, May 2, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Matawi ya vyama vya siasa hasa wakati wa ukombozi wa nchi mablimbali duniani africa na america kusini yalikuwa yanafunguliwa nje ya nchi sababu ya kupigwa marufuku katika nchi zao. Chadema ina tawi imara sana washington dc ina maana sana maana ni mapambano ya kukabiliana na na maovu ya ccm, tanzania ni rahisi kupewa sumu sababu umesema kitu fulani,
  sasa chama tawala kikianzisha matawi nje ya nchi ni kwa uwoga upi na maslahi ya nani? Hivi ccm ni wazima maovo yote haya bado wanachekacheka na wananchi hwawajui wako uchi sijui nani awasaidie wajisitiri.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Usidhani watu hawa comment hii thread yako kwa sababu wanakuchukia, bali ulichoandika hakina mantiki na hakieleweki, hasa hasa mpangilio wa mada wenyewe.
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Verbal diarrhea!
   
 4. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona tread na maelezo haviendani,pumba tupu.
   
 5. J

  Jamer winner Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii inaonesha mpangilio wa mawazo ktk akili yako ulivyo mbovu.
   
 6. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ukiwa unataka toa wazo muulze hata jirani yako je lipo sawa,
   
 7. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ukiwa unataka toa wazo muulze hata jirani yako je lipo sawa,
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbona jamaa anaeleweka vizuri tuu
   
 9. m

  mpujufu Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brain concusion!....una matatizo makubwa kwenye halmashauri ya ubongo wako!
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  :bange:
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haya ndiyo matatizo ya shule za kata
   
 12. E

  Etairo JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hovyo-hata kama ni ushaabiki wa siasa kwa cdm -hujajipanga kuwashawishi watu
  :love:
   
 13. e

  environmental JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Niikuwa natizamaa maelezo naona ni. Mmoja tu ameelewa namuomba awasaidie
   
 14. e

  environmental JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Toa msaada tafadhali kwamba naeleweka vizuri vipi?
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hayo matawi ya CCM nje ya nchi ni ya watoto wa vigogo ili wakirudi nyumbani na kuukwaa uongozi iwe kisingizio cha kuwa ni mwanaCCM aliyekuwa tawi la nchi fulani. Pamoja na hilo, ni sehemu ambazo zinakuwa rasmi kwa ajili ya kufichia wezi na mali za umma, na kupanga madili yote machafu.
   
 16. e

  environmental JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Asante mkuu wa ukenyenge mwa maelezo toshelezi
   
 17. e

  environmental JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Heri we uliyesoma kemriji ma havadi
   
 18. e

  environmental JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Samahani kwa harufu mbaya ya mharo wangu. Tumbo lilichafuka nikashindwa kujizuia.
   
 19. I

  Irizar JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona ameeleweka tu vizuri, watu wote hatuna uwezo sawa wa kuandika..

  Na pia siyo vizuri kama mtu anaandika kitu watu wanaponda tuu saa zote, acheni kuponda ponda hatuna upeo na elimu pia hatufanani, kwanza wengine tuko vijijini na kiswahili kinatupa shida kidogo kujipanga, pia shule za kata ni kasheshe tujaribu na tujitahidi kuelewana.
   
 20. e

  environmental JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Asante kwa busara zako irizar
   
Loading...