Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, May 3, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Jamani ndugu zangu watanzania. Waziri Magufuli ni the best Minister ever, ukimuacha marehem Sokoine. Huyu waziri anafanya kazi na kazi imo ktk damu yake. Mimi ni mchaga sina undugu wala hanifahamu. Ila jaman huyu waziri anatisha. Nadhani tuwanzishe award kwa mawaziri. Tuweze kupata maziri weng kama Magufuli. Mim nakuombea afya,nguvu na ulinzi toka kwa Mungu.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hana mfano mkuu.
  Sii unakumbuka alivyouza nyumba zetu kishabiki tena kwa demu wake na nduguze?kisha akatuambia ss wananchi wa kigamboni ambao hatuna ongezeko la nauri ya kivuko tupige mbizi?sasa ww ktk maisha yako uliwahi kusikia kauli chafu kama hiyo???????
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Magufuli wa kawaida sana, tofauti yake na wenzake ni kwamba yeye anatembea sana na waandishi wa habari ndio maana mnamuona anachapa kazi sana!
   
 4. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hana lolote la ajabu alilofanya zaidi ya unafiki tu mpaka leo nyumba zipo mpaka barabarani pale ubungo jengo la Tanesco lipo palepale tumemchoka kabisa.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nikweli mkuu naungana na wewe anatakiwa kupewa award ya uwaziri baada ya kutoa rushwa kwa wananchi wa Igunga kuwa daraja la mbutu litajengwa iwapo watamchagua dr kafumu kuwa mbunge wao
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Magufuli anapenda tv utafikiri mcheza maigizo
   
 7. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama tungekuwa na mawaziri wachapa kazi basi magufuli asingekuwa mmoja wapo.
   
 8. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kanywe naye chai.
   
 9. T

  TAREQ AZIZ Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Anakata sana bahasha kwa makanjanja
   
 10. S

  STIDE JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duhh!! Hii Tanzania hii!!!! Hivi tafadhari jaribu kufafanua unamsifia kwa lipi kwanza!!

  Yaani unajaribu kutofautisha harufu ya mizoga, kwamba huu mzoga unanuka vizuri!!!

  Yaani hadi unasema hayo umetumia vigezo vipi!!? Kwa lipi la ziada analolifanya Magufuli? Linganisha mazuri yake (unayoyaona) na mabovu yake alafu utuambie "the best minister!!"
   
 11. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa kweli kichwa hata zile barabara za juu kwa juu zinazojengwa kenya sasa ni idea yake ambayo odinga aliipata toka kwake kutokana na uswahiba wao wakiwa mawaziri wa ujenzi
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Magufuli ni "photogenic". Kama tutamuita mchapa kazi kwa kumshabulia waziri mwenzake kwenye vyombo vya habari, hapo tutakuwa tunakosea. Ningekuwa mimi ningempigia simu Mkulo na kumuuliza tatizo lilipo badala ya kuongea kwenye vyombo vya habari. Magufuli alitakiwa aende na majibu badala ya kusema nitashitaki kwa rais. Ninaloliona, Magufuli yuko katika vita vya kubaki katika baraza la mawaziri; ingawa atabaki hata bila kumwaga chumvi kwenye kidonda cha mwenzake.

  Mimi siipendi tabia ya Magufuli ya kupenda kuonekana "njia panda" japokuwa ni mchapa kazi.
   
 13. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,260
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  kulikuwa na ulazima wa sisi kujua kabila
  lako?
   
 14. S

  Siamin Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwela ktk awam zote hizi mbili mkapa na kikwete sijaona aliye bora zaidi ya magufuli.
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Mnaozungumzia kashfa ya magufuli na nyumba za serikali bahati mbaya hata hamjui chanzo na mwisho wake, jinsi wabaya wake (mafisadi) walivyomzunguka. Kumshambulia Magifuli kwa kashfa ya nyumba ni kusherekea ushindi wa njama za mafisadi dhidi ya watenda haki.

  MY TAKE
  Serikali ya magamba imetuchosha wote na hatutegemei kuona jema kwao. Magifuli ni mtendaji mzuri ktk serikali iliyooza.
   
 16. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Magufuli ndie rais wa tanzania 2015-2025!
   
 17. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tattizo ni chama alichopo... namkaribisha CDM aje achape kazi.. 2015 tunamhitaji kweli kweli
   
 18. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe ni maarufu wa kuchambua maovu ya wenzako, nasikitika maana swala la kuuza nyumba lilikuwa ni amri ya Raisi, sasa Magufuli ni nani agomee amri!!! Swala la kuuza nyumba kwa ndugu yake sio isue saana kulinganisha na maghorofa yanayoibuka eti ya wakubwa na watoto wao!!!!

   
 19. s

  skalulu Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  siwapendi magamba, LAKINI MAGUFULI ni kati ya Mawaziri watendaji wazuri, yeye ni peke yake mzuri kupita magamba yote. Namshauri aje CDM aungane na Makamanda ili 2015 ndoto zake za Flyover Tz ziwezekane.

  Ila kama ataendelea kuwepo huko Magambani, kurudi 2015 itabidi amshukuru Mungu. Aachane na hao wahuni, mwaka juzi kidogo ajiuzuru lakini wakambembeleza, huyo yuko mbioni kukimbia magamba nisikilizie.
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  atakutawala wewe na ukoo wako.
   
Loading...