Mji wa Kigoma upo gizani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mji wa Kigoma upo gizani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, May 4, 2012.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Wanajamii, mji wa Kigoma upo gizani wiki sasa. Hatujui nini tatizo na Tanesco wapo kimya tofauti na mikoa mingine ambapo huwa wanatoa taarifa ya kutokuwepo kwa umeme. Hali ni mbaya. Usalama kwa sasa ni duni. Hospitali pia ipo gizani. Kambi za jeshi 24KJ, RADAR, kituo kikuu cha polisi, gereza la Bangwe, bandari, TBC vyote vipo gizani. Tutafika kweli?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Msubili Muhongo aje na yeye atuongopee!
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna Umeme leo?
  I think ilikuwa shida ya mafuta, kwani walikuwa wanawasha usiku, but today umemo upo since mchana!
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hamieni burundi au kongo ya Kabila huku wanawazingua tu any way poleni sana ndg zng hii ndio Tanzania baada ya Tanganyika
   
 5. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa unaishi Mji Mwema, sisi wa Ujiji na Mwanga hatujauona bwana
   
Loading...