CHADEMA mtampongeza Kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mtampongeza Kikwete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, May 4, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tangu tumepata uhuru hatujawahi kuwa na chama cha upinzani tishio kama CHADEMA. Upinzani wao umekuwa na mafanikio makubwa sana, kwanza wameaminika sana kwa wa Tanzania kuliko chama chochote cha upinzani, ccm wanajua nguvu ya CHADEMA ni ngumu sana kuizima ni sawa na ngamimia kupenya kwenye tundu la sindano kitu ambacho hakiwezekani!. Tunasubiri kwa hamu kubwa kutoka kwa viongozi wakuu wa chama kuhusu uteuzi huu wa Jk.

  Tunajua kwa jinsi uteuzi ulivyo hamta uunga mkono! Ni madudu tu hayo.
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasa kama unajua hatutaunga mkono, unauliza nini!!? Au unahamu ya ku-Runsindiwa?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Watapongeza nini wakati Mkuchika wa TAMISEMI amerudi kusimamia 'Utawala bora? Au wapongeze kurudishwa kwa Hawa Ghasia na wafanyakazi hewa? Vipi uwepo wa Prof Maghembe na mbolea/mbegu fake? Wabunge wa CCM sijui wataangalie upande gani!
   
 4. S

  STIDE JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasa kama unajua hatutaunga mkono unataka nini!!? Au unahamu ya ku-Rusindiwa!!?

  Wewe umeona kuna kipi cha kuifanya CDM ipongeze?
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Natarajia kesho waje na msimamo wa chama kwa wa Tanzania wote tunaowaamini.
   
 6. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hata Rais angeteua mawaziri wote kutokana na Chadema wasingempongeza kwa vile shughuli Yao ni kupinga kila kitu bila kushauri. Chochote. Oppose everything and propose nothing.
   
 7. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Apongezwe kwa lipi aliyoyafanya ni maoni ya upinzani yeye ndio anatakiwa awapongeze kwa kumwonyesha panya waliokuwa wanamtafuna chumbani mwake bila mwenyewe kujua.tena akikutana na Zito amnunulie bia za asante.
   
Loading...