LUDOVICK OTOUH anafaa kuwa RAIS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LUDOVICK OTOUH anafaa kuwa RAIS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, May 6, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UTENDAJI,UMAKINI na UADILIFU wa OTOUH ni vigezo vya kumfanya awe RAIS siku zijazo akipenda na Wtz wakipenda.Namsihi ajitathmini USOMI NA UTENDAJI wake unaweza kumfikisha mbali.
   
 2. M

  Moony JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mtakoma kwenye bajeti.

  Hamna posho posho
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Utouh aliharibu katika kumsafisha jairo tu hapo ndio alipowachefua watanzania azawaiz thumb-up!
   
 4. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hafai kabisa yule! Ni mla rushwa mzuri tu,mbona alimsafisha jairo?
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Huyu si ndiye aliyeunda tume ya Luhanjo akatoa taarifa Jairo haja fanya ufisadi wizarani kupitisha budget! Msisahau haraka
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mtoa mada...taratibu taratibu...naona unakuja kwa kasiii:argue:
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  atatugeuka tu chezea siasa wewe.!!
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona unakuwa short sighted.
  Unalosema ni sawa na kutaka kachero aliyekamata wezi wengi awe Rais!
   
Loading...