Oparation vua gamba vaa gwanda iko karatu mida hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oparation vua gamba vaa gwanda iko karatu mida hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, May 6, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Wakuu huku karatu mida hii yupo Alphonce Mawazo akisaidia kuwavua magamba watu wa karatu, mkutano ni mkubwa sana na watu ni wengi mno, Mawazo anaongoza mashambulizi huku na anawachana magamba ile mbaya,

  wapo pamoja na wabunge wote wa Karatu, na wanadai lengo ni kufunga kabisa Ofosi ya CCM wilaya ya karatu na ibadilishwe kuwa ya Magwanda kwa sababu ilijengwa wakati wa mfumo wa chama kimoja kwa kodi za wananchi wote.

  Ila wakuu sitaweza kuendelea kuwaletea habari kwa sababu ndo naingia kwenye gari kuelekea Arusha, niliona niwajuze hii habari, make ilinibidi nisogee kwenye tukio kujua kulikoni,
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Magamba wanaweza kukimbia kabla ya 2015 maana hiki chama cha msimu kimewashika sana hawa jamaa. Makamanda wengine wako uwanja wa Polisi mkoani Njombe.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  safi sana, huyo mawazo ni balaa, inabidi chadema wamtumie sana kwenye mikutano make anakipaji cha kuongea
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hivi bado kuna magamba Karatu!?
   
 5. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sia amini kama kwa karatu magamba bado yatabaki - hii itakuwa moja ya "MAGAMBA FREE ZONES"
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu kazi nzuri sana yaani yanga imefungwa goli 5 lakini habari zako zimenifariji sana
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Pemba mtakuja lini wajameni? au ndio technique za kurudi nyumbani kukagua miradi?
   
 8. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Pemba kuna nini huko???? Tunawaachia CUF wafanye kazi....au ndoa yao na ccm imeimarika kwa hiyo hakuna upinzanni?
   
 9. m

  massai JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hebu funguka zaidi mkuu,palikuwepo na makamanda gani viongozi?nipo mbali na karatu,dukhu dofa ndio home ,nimemiss mkutano alakinip poa tu ,home ni full wajanja,magamba ni janga na haikubaliki kamwe
   
Loading...