Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali