Nadhani sasa wana ccm wanamkumbuka Nyerere.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Ni dhahiri sasa wana ccm wengi wana mkumbuka Nyerere,hasa pale Alipo waambia wana ccm kuwa Kikwete ni mdogo asubiri kwanza.wanamkumbuka sana na kujutia uteuzi wao kwa kumkabidhi jk Nchi sasa Nchi imemshinda na chama kinamfia hana pakushiaka na hana wa kumlaumu. Laana hi itawatafuna milele
 
Back
Top Bottom