Cv ya cag ludovick otouh

Unataka kumpa ajira ama ametaja nduguyo kwenye ufisadi?!!

utendaji wake wa kazi umenivutia sana, hivyo ni vyema kumjua kwa mapana elimu yake, na ukizingatia ni kiongozi pekee ambaye mamlaka yake hawezi kuingiliwa hata na rais aliyemteua,
so nadhani ni vyema kuijua cv yake,
 
kifupi yule jamaa lazima atakuwa na CPA...Alafu uongozi sio kuwa na CV nzuri kama za kina maghembe,kawambwa,chami, na wengineo alafu bado hawana msaada wowote kwa jamii
 
Kama umevutiwa na utendaji Utoh, sidhani kama cv yake itakidhi unachohitaji.

nilipomsikiliza JK juzi kwenye hotuba yake ya mei mosi, niligundua kwamba Utoh ana kinga kubwa sana ya kisheria, "sina hakika" ila nadhani hakuna kiongozi mwingine mwenye kinga kama yake, so ndio maana nikataka nimjue vizuri kiutendaji katokea wapi.
 
Ludovic utoh ana ADCA ya IDM Mzumbe, CIMA ya Canada!! Aliwahi kufundisha Mzumbe (by then IDM) kwa miaka mingi tu na akina Blandina Nyoni. Alikuwa akifindisha Management Accounting na Financial Accounting. Baadae aliajiriwa NBAA na kufikia level ya CEO. Baada ya hapo akachaguliwa kama CAG!
 
nimekusoma kaka, thank.
 
Back
Top Bottom