wewe ni mwalimu mkuu wa shule hujajiuzulu unasubiri nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wewe ni mwalimu mkuu wa shule hujajiuzulu unasubiri nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mansakankanmusa, May 6, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  :director:Unajua watu wengi hawajui uongozi, mh mkuu wa wilaya amejiuzulu kuna tatizo gani? ? mf mwalimu watoto wameshindwa mitihani yao hujaachia ngazi unasubiri viboko? wewe ni mwalimu mkuu hajafaulisha mtoto hata mmoja unangoja nini! wengi wanasubiri aibu ziwakute..uongozi hausomewi ni wakuzaliwa nao..nani anajua planners nchi hii wenye uwezo ni kama Mh. Sumaye pekee? kama hujui ndio hivyo sumaye ni kiongozi na haitoshi ni mwana mipango mwenye kipaji cha juu sana...na ukiwa rais hakikisha una mtu kama sumaye...kwa kweli

  kwa kweli kama kuna mtu amenipata sawasawa juu ya planners hasa katika kada ya urais na uwaziri mkuu..lazima mmoja awe planners..serikali iliopo sijui..kama **** mtu anajua planner mwingine mwenye uwezo kama sumaye aseme amuweke hapa:sleepy:
   
Loading...