Kwa hali hii mbunge wetu wa mafia achia ngazi tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali hii mbunge wetu wa mafia achia ngazi tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, May 6, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upepo huu wa mabadiko ya wasomi wa Mafia hasa vijana unakuweka Mbali na utawala wa kisiwa Chetu. Utumiaji wa mitandao ya jamii na kuhamasihana ktk mabadiliko kunamuweka mbali mbunge weti

  Inaonekana 2015, vijana wengi waliopo vyuo vikuu wameapa kuingia ktk kinyanganyiro Cha Ubunge na Udiwani.
  Hiili linawezekana kama Vile Akina kafulila na Vijana wengine
   
 2. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,830
  Likes Received: 1,544
  Trophy Points: 280
  Kaka hata hueleweki!
   
Loading...