Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wenzangu, kuondoka kwa mawaziri hakuta imarisha wizara na taasisi zake kama makatibu wakuu wataendelea kuwapo. Sawa tunajua baadhi ni marafiki sana na raisi lakini kuaribiana kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear JF members I am curious to know what are the likely consequences of the cases against CDM high profile leaders. I wish to have answers on: - Can lawyers predict with a reasonable degree...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Hatimaye JK kuna uwezekano wa Kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri kutokana na kwenda kinyume na katiba ingawa AG amemtetea ya kwamba alichofanya ni sahihi kwa mujibu wa katiba ya nchi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nipo hapa nasoma hotuba na article mbalimbali za Julius Nyerere zilizowekwa pamoja kama kitabu kikaitwa FRREDOM AND UNITY (ISBN: 9976400187). Kwenye pg. 119, Kuna hotuba yake aliyotoa July 29...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni dhahiri uteuzi wa Dr.(Phd) Harrison Mwakyembe kuhudumu kama waziri kamili katika serikali ya Kikwete ni pigo kwa Mbunge wa Monduli( waziri Mkuu aliyejiuzuru) Mbunge huyu alichukizwa sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Njaa mbaya sana:israel::israel::israel::loco::loco:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kelele nyingi kutoka kwa wabunge na kamati za bunge kuhusu mawaziri waliovuruga na kuhujumu wizara zao. Kiasi cha kusababisha shinikizo la kumuondoa waziri mkuu. Hatimaye mkuu wa kaya...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Source TBC 1 Jk anaonekana bado anamawazo lile tabasamu lake halipo kabisaaaa mda wote kanuna
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni jambo la kusikitisha sana,pale wajumbe wanapokuja kutumikia nafasi yao kwa kulinda heshima na marupurupu waliyonayo,badala ya kutumikia hoja zawananchi. Kwangu mimi kupewa Nyumba na gari ni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ukitaka kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia na anapotoka kwenye madaraka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) is investigating ministers and government executives implicated by the Controller and Auditor General (CAG) report in corruption...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naangalia bbc Tv right now,wazalendo ni aibu sana kwa tanzania railway,wafanyakazi hawana vifaa ya kufanyia kazi vya kisasa,na railway zimechoka sana,usafiri huu ni muhimu sana kwa tanzania,budget...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kutoa pongezi zangu kwa Mheshimiwa Kigoda kwa kuchaguliwa kuiongoza wizara ambayo kwa sasa imekumbwa na kashfa nyingi sana hususan madudu ya TBS. Najua kwa uteuzi huu mheshimiwa Rais...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi hizi kamati ni lazima ziwe za kudumu? Je kamati nazo zikiboronga zinawajibika vipi? Kama ripoti ya kamati ya Uchukuzi ya Peter Serukamba, Mpaka mh John Mnyika anaifanyia mabadiliko kipengele...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA HAWAFAI Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,chama pekee kilichoonesha nia thabiti ya kumuondoa mtanzania hapo alipo katika lindi la umaskini wa kutisha ni chadema,hawa chadema...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi...
9 Reactions
60 Replies
7K Views
Wana JF mkurugenzi mkuu wa TBS bwana Ekelege,kabla ya wizara yake kushtakiwa na CAG tayari alipanga safari ya waandishi wa Habari(kwa gharama zake)pamoja na Wabunge wanaounga Mkono madudu kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna mambo ambayo inabidi ifikie mahali tuyajadili kwa kuamua kwa moyo wa dhati kabisa kuweka Itikadi zetu kando na kuamua kuzungumza na kutoa ushauri ili kuona ni kwa jinsi gani twaweze kutibu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu ulipomalizika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wilaya nyingi hazina wakuu wa wilaya kwa sababu mbalimbali na hivyo kusababisha baadhi ya wakuu wa wilaya kukaimu zaidi ya wilaya moja. Katika hali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…