Baraza jipya la mawaziri nalipa 40% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza jipya la mawaziri nalipa 40%

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, May 7, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Baada ya kelele nyingi kutoka kwa wabunge na kamati za bunge kuhusu mawaziri waliovuruga na kuhujumu wizara zao. Kiasi cha kusababisha shinikizo la kumuondoa waziri mkuu. Hatimaye mkuu wa kaya aliunda baraza jipya...japo naweza kusema ni jipya kwa 40% tu asilimia nyingine ni madudu! Kiraka kipya katika nguo ya zamani...kuna mawaziri hawakustahili kurudi ama kubadilishiwa wizara lakini wamerudi. Mfano wa-hasira!!!,mchi-mbua, ghasia, dereva wa meli,n.k. Tusubiri tuone utendaji wao!
   
Loading...