Rais Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri baada ya kugundua AMEISIGINA katiba ya nchi...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri baada ya kugundua AMEISIGINA katiba ya nchi...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa njaa, May 7, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatimaye JK kuna uwezekano wa Kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri kutokana na kwenda kinyume na katiba ingawa AG amemtetea ya kwamba alichofanya ni sahihi kwa mujibu wa katiba ya nchi.

  Ngoja tuone reaction ya wadau itakuwa vp baada ya JK kuisigina katiba na kwenda kinyume na matakwa ya katiba baada ya kuwachagua wabunge wasio apishwa kuwa mawaziri.

  Source: Jikoni. W.H.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unajua tatizo hata JK kuna uwezekano wa Kuwa hajawahi kuisoma katiba mpya ndio maana hafahamu hata yaliyopo ndania yani....Kuna sheria inasema atakaye vunja katiba anapaswa kushtakiwa Sasa JK itakuwaje? Nazani Rafiki yangu Genious DR Slaa itabidi awe mwalimu wake la sivyo si muda mrefu ataingia tena katika hatari ya kuvunja baraza la mawaziri na kuunda baraza jipya la Mawaziri kutokana na kwenda kinyume na katiba ingawa AG amemtetea ya kwamba alichofanya ni sahihi kwa mujibu wa katiba ya nchi.

  Ngoja tuone reaction ya wadau itakuwa vp baada ya JK kuisigina katiba na kwenda kinyume na matakwa ya katiba baada ya kuwachagua wabunge wasio apishwa kuwa mawaziri.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rais hata kama hajui katiba...ana advisers zake wengi tu...kuna maamuzi mengine kabla hajayatoa anawasiliana na AG ili kumpa ushauri wa kisheria..so hizi decisions zote hapa hajatoa yeye mwenyewe..kuna jopo la watu limekaa nae likamshauri kwa kila kona.... so kama maamuzi aliyofanya si sahihi maana yake sio tu yeye ni mzembe bali advisers wake wote ni mbumbumbu....
   
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,371
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  how sir?
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,441
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni Upi tunaopinga hapa. Hawa Mawaziri waliochaguliwa kabla ya kuapishwa bungeni, wakisha apishwa hiyo kesho wataanza kufanya kazi za Uwaziri ikiwa ni pamoja na kutayarisha bajeti.
  Tusijidanganye ktk haya hata kidogo hivyo wataanza kufanya majukumu yao kinyume cha ibara ya 56 maana bunge halitaanza kesho wala kesho kutwa.
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mwanasheria mkuu wa serikali amesema jk hajavunja katiba kumpa uwaziri mtu ambaye hajamuapisha baada ya kua amempa ubunge...so amesema kwamba ubunge wa mbunge mteuliwa huwa unatambulika punde tu baada ya prezidar kumtangaza.
   
 7. d

  dicaprio Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna kitu huwa tunajifunza kila uchao
   
 8. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  anawaapisha leo saa tano,wewe utasemaje atalivunja kwa kulivunja na kuiunda upya?
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  uongo hauna faida ni hasara tupu.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Hii habari baada ya muda nikifungua itakuwa hivi:

  Invalid Topic specified. If you followed a valid link, please notify the administrator
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,886
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tatizo la JK na serikali yake ni utumiaji wa mabavu hata pale panaphitaji kuheshimu katiba na sheria za nchi. Hatutaona ajabu kama akiendelea na zoezi la kuwaapisha hao mawaziri "kabla hawajawa wabunge".
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tungeitembelea katiba kadri ya maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa serikali na kupata tafsiri sahihi ingesaidia kuhitimisha mjadala huu.

  Kutoka nje ya maelezo ya katiba tunapoteza muda na kuongeza tetesi ambazo hazina mwisho
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  kwani hapa kuna tatizo gani? Kuapishwa si protokali tu?
   
 14. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mi mwenyewe nilijua haiwekekani mtu akateuliwa kuwa mbunge na kuapishwa kuwa waziri kabla hajala kiapo cha kuwa mbunge.
   
 15. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliona hili tatizo la ukiukwaji wa katiba mapema pale alipowateuwa wabunge watatu na nikawa nangojea anataka kufanya nini kumbe ni kuwapa Uwaziri. Hapa AG kapotoka na kadanganya ni kosa kikatiba kwani Raisi kabaka Muhimili mwingine wa Serikali ambao ni Mbunge.
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hivi la Mwinyi nalo AG kajibu?
   
 17. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nikweli kavunja katiba, ibara ya 56 inasema waziri ataanza kutekeleza majukumu yake baada kula kiapo mbele ya raisi na viapo vingine kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge! Hii maana yake nini?
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,228
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Confirmed.

  Raisi Kikwete amechanganyikiwa!
   
 19. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hilo wamelikwepa, hawajibu, na hili lingine ni ubabaishaji tu, katiba imesiginwa!
   
 20. N

  NTABWENKE Senior Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli kavunja katiba na AG anasema ni sawa basi hii ni kama kisa cha mfalme Ahabu kwenye Biblia ambapo Mungu alimruhusu shetani aweke pepo la uongo ili kumwangamiza Ahabu, huu ufalme tulonao wasaidizi hawamsaidii mkuu hawana ushauri ila kujaza matumbo yao, kila kitu wanamwambia fanya ufanikiwe.
   
Loading...