CHADEMA yachukua kata nzima! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yachukua kata nzima!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, May 7, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
  wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
  baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
  leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.

  picha pia zipo nitawarushieni kesho.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  asante kwa taarifa mkuu. jitahidi kuweka picha coz si wote wenye tv.
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chama cha MSIMU HIKI jamani mbona kinashika kasi hivi kadri siku zinavyokwenda....lol...yaani kila siku nazidi kuamini kuwa utawala wa ccm siku zake zinahesabika...naomba uvumilivu tu hadi huu mwaka uishe...kuanzia 2014, JK akijichanganya tu, wananchi wakiingia road, anang'ooka kablya 2015, wote tutakuwa tumebadilika....raha kweli....
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  dah inafurahisha sana watu wanapokuwa na mwamko wa kuipinga ccm
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pamoja na mabadiliko makubwa ya juzi juzi bado watu hawaamini looh !
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli nimeamini hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho.Pole yao
   
 7. k

  kiruavunjo Senior Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana makamanda
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ngoja ubishane na picha kaka,katika vijiji ambavyo vilikuwa vimelishwa limbwata na chami ni vya kata hii lakini baada ya cig kuthibitisha kuwa chami ni mwizi wakaamua kuikimbia ccm.
  na kama unabisha eleza ilikuwa vipi chami akapata ubunge jimboni moshi?au unataka kutuambia ni wa viti maalum?
  kijiji nilichokutajia ndicho kijiji cha mwisho kwa maendeleo katika mkoa wa kilimanjaro lakini jana baada ya ndesamburo kuingia na operesheni vua gamba vaa gwanda ccm ikazikwa rasmi.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hao wote walikuwa wafukuzwe cCM tunajivua Gamba
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii ni habari njema sana kuelekea kwenye ukombozi wa Tanzania tuitakayo. Asente Kamanda
   
 12. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana makamanda, wa anga, ardhi, maji n.k
   
 13. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Mshuza2 LIKES YOUR COMMENTS.
   
 14. M

  MTENGE Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is what we expect, CCM is now an opposition part in Moshi, Arusha Mwanza, Mbeya and even Songea
  They better asks themselves where is KANU, Where is UPC, they better look also countries like Malawi, Zambia and Mozambique, It is on the way to follow them
   
 15. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  BRAVOO is word to heros
   
 16. v

  valour Senior Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mozambique???
   
 17. T

  Tata JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Isn't this too strong a statement to make at this time? Let us wait for the forthcoming grassroot elections which will give a clue to what extent opposition parties have infiltrated CCM strongholds.
   
 18. J

  Jmushizoo Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Tunaomba utuweke hizo picha leo kesho mbali
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kipindi hiki ni kipindi kibaya sana kwa ccm. Imewafanya baadhi ya wanaccm kushindwa kujitambulisha kuwa ni wanaccm.
  Mpaka wahindi wameamua kujiunga CHADEMA huu upepo kweli unavuma kwa kasi ya ajabu!

  Asante Mungu kwa kuwafunulia mambo haya hata watoto wadogo!
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red kuna mashaka saa hizi ni saa moja asubuhi huo mkutano ulifanyika usiku?
   
Loading...