Tazara railway on bbc live. Aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazara railway on bbc live. Aibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, May 5, 2012.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Naangalia bbc Tv right now,wazalendo ni aibu sana kwa tanzania railway,wafanyakazi hawana vifaa ya kufanyia kazi vya kisasa,na railway zimechoka sana,usafiri huu ni muhimu sana kwa tanzania,budget ya usafiri huu vipi ? Mbona hauboreshwi ? Jione wenyewe wenye mitambo
   
 2. B

  Bubona JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanazungumzia TAZARA au Tanzania railways kwa ujumla?!! Tupatie basi points zinazoongelewa ili na sisi tupate angalau taarifa kidogo kuhusiana na hili!!!
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mkuu tupe hiko BBC gani kwa hawa jamaa wana chanells nyingi. Hiko BBC 1, 2,3, BBC News au BBC World?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kama kuna aibu kubwa tuliyonayo basi ni hizi railway line mbili. Nasikia fununu kuwa mameneja wengi wamesimamishwa Tazara sijui kwasababu gani. Ila jamaa walifikia sehemu wakakosa hata hela ya kununulia mafuta.
   
 5. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Kwanza suala moja ambalo ni hatari kwa wasafiri wa train,wafanyakazi wanatumia hands tools katika kutengeza njia au kufanya services ,kwa mfano,kuna baadhi ya sehemu huwa zinatanuka zile njia za train,hupaswa kufanyia marekebisho kwa kutumia vifaa vya kisasa,wao wanatumia hands tools.

  Pili, kigari ambacho huwangalia na kukagua railway kuwa ipo katika standard ni cha kilocal kabisa,kibovu yaani kibovi kabisaaa,muandishi wa habari wa bbc alikuwa yupo taabani katika ukaguzi wake.

  Tatu,vifaa vya kuondole mawe au kokoto,wanatumia hands tools,kiasi ambacho wafanya kazi hawawezi kufanya kazi vile ipasavyo.

  Nne,usafiri upo slow sana,safari ya kwenda masaa 2.30 mpaka 5 hours wananchi wanatumia kwa siku 1 nzimaa,hivi usafiri huu umekosa budget ya kufanyia au kuuboresha ukaendana na mazingira ya sasa ?

  Nafikiri wahusika wasome nyakati za sasa,tupo 21century,tunahitaji usafiri wa kisasa na bora zaidi,huduma wananchi wanasaidia mbona hazihudumishwi ?
   
Loading...