mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wana JF mkurugenzi mkuu wa TBS bwana Ekelege,kabla ya wizara yake kushtakiwa na CAG tayari alipanga safari ya waandishi wa Habari(kwa gharama zake)pamoja na Wabunge wanaounga Mkono madudu kwa gharama za Serikali kwa ajili ya kwenda Dubai,Japan,Singapore na Hongkong kwa ajili ya kukanusha habari kuhusu na taarifa za CAG,Michango Bungeni na kupinga ile kamati Teule ya POAC(kamati ya Zitto) iliyoongozwa na Deo Filikunjombe.
Safari hii ilikuwa iongozwe na Mh Mahmoud Hassan Mgimwa(mbunge wa Mufindi kaskazini)ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Viwanda na Biashara ambaye tyr alitanguliziwa kitu kdg cha kukwaweka Wabunge sawa na fungu la Waandishi ili wakirudi watoe taarifa ya kukinzana na CAG
Kwa kuwa Rais na Bunge walistukia hili mapema Mpango huo umebaki njia panda na hakijajulikana nini kitafanyika.
SOURCE: Mtumishi TBS na Mwandishi aliyekuwa akihaha kupata pasi ya kusafiria