Chadema hawafai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema hawafai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Technician, May 7, 2012.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CHADEMA HAWAFAI

  Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,chama pekee kilichoonesha nia thabiti ya kumuondoa mtanzania hapo alipo katika lindi la umaskini wa kutisha ni chadema,hawa chadema hawafai kabisa,wamethubuti kumlazimisha mkulu pamoja na baraza lake kubwa la wabunge wengi bungeni lakini limeweza kuwa mobilize na wakafuata upepo wao hatimaye mawaziri 6 wamepigwa chini.
  Hawa chadema ni noma kabisaa,hawafai kulinganishwa na vyama vingine vya upinzani kama tlp,nccr,cuf,nld,adc n.k nk nk nk .Hiki chama hakifai kabisa kulinganishwa na chama chochote cha upinzania hapa Tanzania kwa mipangilio yake iliyo na mikakati imara inayosababisha hata viongozi wengi kutoka ccm kuhamia cdm.
  Hawafai kabisa kuachwa hivihivi maana wakiachwa hii nchi itarejea kwenye ukoloni mamboleo,wana kila sababu ya kukabidhiwa dhima ya kuliongoza hili taifa baada ya chama dume ccm kisichozaa matunda ya uhuru miongo kadhaa zaidi ya miaka 48 kuliongoza taifa hili bado songea wanatumia generator kuwasha umeme.
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Haya maneno huwa yanatumiwa na kina Nape, Wassira na Werema wanapomshauri rais masuala ya siasa na mahusiano.
   
 3. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nimeona signature ya Feedback inasema: Only in Tanzania: Movement for Change (M4C) Vs Movement for Killing (M4K)
   
 4. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Mistari yako imesimama but kichwa cha habari ni vagaranti mkulu.
  Tumekuja kuwashika pasiposhikika hakika huu moto wa gesi kuuzima utamaliza maji baharini.

  makambako gari la M4C ni speed mia ishirini wanatembea nayo sasa hivi. kaskani speed inasoma 180km/h

  tabora na mitaa ya kati wako 50km/h

  Mwanza na kanda ya ziwa wako 150km/h

  hapo Dar kutokana na wazee wengi kupenda wali wa bure kutoka ikulu speed inasoma 40km/h

  but soon gari letu aina ya M4C tutakuwa kwenye speed moja ya 180km/h by end of 2014
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Unasifia na kuponda at the same time.......no wonder tunafeli mitihani
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Dar ache maana pale tukipawasha biashara ya CCM basi kwanza Mkuu wa nchi atapashida sana kama Dar itakuwa kama mbeya, Arusha, Mwanza ambako anaenda kama anaenda nchi jirani....Kikwete huingia Arusha usiku anondoka asubuhi tunasikiakwenye vyombo vya habari kikwete alikuwa arusha jana...Kikwete kulikoni Arusha uliyoipenda kila mwenzi ulikuwa unatia timu njiro..
   
 7. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ok!

  Nilidhani unanena kwa Lugha!!

  Asante kwa ujumbe!!
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli yegella hiyo ni signature yangu, wakati sisi tunahangaika kuwakomboa wananchi kwa kuanzisha M4C wao wanahangaika kuwamaliza wananchi kwa kuwakata shingo kwa kuanzisha M4K.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kichwa chako cha habari kilinifanya niandae majibu kabla hata ya kusoma na ilikuwa nipate ban lakini nimeishia kucheka!!! ki le mutuz ha ! ha ! ha ! ha !
   
 10. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kigoma wana wiki nzima hawana umeme jana ndio umeanza kuwaka kwa masaa 24, Du kweli M4C inahitajika haraka.

   
 11. b

  big niga Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  ....movement for killing, chama cha mzee ndesambulo,bora kuwasha generator kuliko kuongozwa na watu wa mkoa mmoja au dini moja,nasikia kina zito na wenzake wanaundiwa zengwe wafukuzwe kwa sababu wanatofautiana na itikadi ya din ya chadema, hatuwezi kuwakabidhi dola hawa,ukiona ccm wamshindwa ujue ni zamu ya kina mwamunyange kuchukua inchi ili tueshimiane mtaani
   
 12. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Utawatambuaje !! wachangiaji wanaosoma na kuelewa Lugha ya kiswahili?
  Hapa ni wachache sana walioelewa hii Lugha iliyotumika.

  Wengi hukurupuka kujibu threads kama hizi.


   
 13. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Nimekusoma japo staili yako hii inaweza kuzua tafrani kwenye kadamnasi maana hii mpaka mtu atulie ndio atelewa unachomaanisha.
   
 14. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Nilivyoona kichwa cha habari nikajua umechokoza nyuki. Haya endeleeni mie napita...
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chadema ndio fahari na tumaini pekee la mtanzania.
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nimefungua thread kwa hasira!
   
 17. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna watu huwa hawana muda wa kufuatilia mantiki, wanaishia kwenye title tu. Utakuja uvune mitusi kwa staili yako hii! Shauri yako.
   
 18. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Subiri Nape aje hapa, kama hajakanusha na kusema Baraza la Mawaziri ni CC ndio iliyoamua.
   
 19. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe hujahisi harufu mbaya miaka 48 ya chama kushika hatamu bado mambo iko kulekule na bado unatuambia unapita unaenda wapi sasa? au unaenda jalalani?mwisho utatapika kwa hii harufu mbaya ya Rushwa.
   
 20. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio maana mikataba mingi ya madini tumingizwa mkenge kwasababu hatusomi content za mkataba badala yake tunakimbilia kuangalia 10% ya contract.
   
Loading...