Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM,ikiona inaikomoa na kuidhihaki CHADEMA,ilikiita chama hicho kikuu cha upinzani nchini-'chama cha msimu'.Ikawataka viongozi wa CHADEMA waimarishe chama chao hasa vijijini.CHADEMA...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikisoma taarifa mbali mbali zinazohusu kambi hii dhoofu kisiasa kuwa kuna vikao vinavyotarajiwa kuanza muda wowote, wakuu na wasemaji wakambi hiyo kulikon na dharula hizi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu katika akili ya kawaida isiyohitaji shahada wezi wa EPA, wahujumu uchumi na hawa Viongozi wa Chadema kina J. Nassary, Dr. Slaa, G. Lema na wengine wanaowaelimisha raia wasiendelee...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi kulikua na sababu yeyote ya msingi jk kumteua mzee mwandosya kuwa waziri wakati ni wazi kabisa inaonyesha hali yake kiafya bado haijatengemaa sawasawa?? Je watanzania tutegemee mchango gani...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani nijuzeni mwenzenu. Nimekuwa nikisubiri midahalo ya katiba mpya ambayo iliahidiwa na wana UDASA chini ya Dr. Kitila kuwa itakuwa nchi nzima na tena itakuwa endelevu. Nimesubiri mtu aanzishe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana asubuhi nikiwa katika Chuo fulani hapa Tz kuna Prof. mmoja alituuliza vijana mnataka nchi lakini inaonyesha hamuwezi kuongoza. Akatolea mfano wa mawaziri wa JK waliotuhumiwa kufisadi wizara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikutana nae Arumeru nikamuuliza swali 'vp Tarime 2015 maana mpo mafahali wawili yeye na Suguta John Heche,nani ni nani ktk ubunge via cdm? Akanijibu 'DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA ITACHUKUA MKONDO...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
"CHADEMA isichezee wala kuchukulia kiurahisi wakati wake huu wa kupendwa na wananchi. Isije kujidanganya kuwa itaendelea kupendwa vyovyote vile. Viongozi wake wasije kujivika kilemba cha...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Ufuatao ni waraka wa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa Serikali, kuhusu migomo na maandamano ya mara kwa mara hapa nchini. Umeandikwa na jopo la viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Libya al Keib pichani. Habari kuwa ofisi ya waziri mkuu wa Libya Abdurrahim al-Keib imevamia na hajulikani aliko ni pigo kwa serikali mpya NTC. Je tatizo ni nini? Tatizo ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
08 MAY 2012 Na Agnes Mwaijega KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB), kwa mara ya kwanza kimeikabidhi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) cheti cha usimamizi bora wa uchaguzi katika Jimbo la Arumeru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipeni mawazo yenu kwani kIla ninapoangalia bunge nakerwa na mambo mengi hasa hili la mbunge hasa wa ccm wanapopewa nafasi ya kuchangia huanza na neno nakushukuru spika kwa kuniona au kuniruhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa iliyovuja toka Polisi Tanzania inaeleza kuwa viongozi hao walili wa CHADEMA, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Ndg John Heche, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na aliekuwa Mjumbe wa...
1 Reactions
105 Replies
11K Views
  • Closed
Hakuna ubishi kuwa siku hizi makanisa, maduka hata madangulo yanaanza kukosa mpaka ingawa si yote. Hebu fikiria. Kanisa linalojengwa kwa pesa, kwa mfano, ya EPA linakidhi matakwa ya kiroho...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tue, May 8th, 2012 Tanzania | Wed, May 9th 2012 By In2EastAfrica Staff Ikulu buildings President Jakaya Kiwete and his family have no any business relations with a Dar es Salaam company...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa...
6 Reactions
123 Replies
13K Views
Na Hellen Mwango 30th April 2012 Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajipanga kuchukua dola mwaka 2015 na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Thamani ya shilingi haipo tena kwani fedha halali sasa ni dola. Kuanzia pango, mishahara, nguo, dawa na mambo mengine. Kila kona kuna bureau de change. Si vibaya. Ukienda kufanya kazi katika nchi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Habari za ndani kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mbunge wa simanjiro Mh Ole Sendeka atakuwa waziri wa maliasili na utali chanzo hicho kinasema pia agrey mwandi atapewa uwaziri kamili wa tamisemi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
GreatThinkers, Hivi nani Amiri jeshi mkuu kamati ya ccm,wazee wanaojiita wa mkoa wa dar au yeye na dhamana ya cheo chake? Tafsiri yangu kukimbilia wazee wa DSM ama kamati kuu za chama zimsaidie...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…