Posted on May 10, 2012 by zanzibaryetu
Wanawake ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu wakisali sala ya pamoja iliyosaliwa katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja ambapo kesho sala kama hiyo...
Posted on May 11, 2012 by zanzibaryetu
Na Jabir Idrissa
WAKATI tuliopo, hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuzuia watu kusema. Ni muhimu na haki kwa binadamu kusema anavyojisikia. Zama za...
Source Star Tv
Nimemsikia kiongozi wa UVCCM akidai CDM ni hatari kwa taifa na Nasari katumwa na Dr. Slaa kwani ni kauli yake toka 1995 kuwa wataingia ikulu hata kwa kumwaga Damu.
Najiuliza...
Posted on May 10, 2012 by zanzibaryetu
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
Ahmed Rajab
TUME ya Katiba, chini ya uwenyekiti wa Jaji Joseph Warioba, imekwishaanza kujipanga na...
Habari zenu WanaJF
Hizi dukuduku nimeziweka moyoni mwangu muda mrefu sasa. Tangu kuahirishwa kwa mkutano wa Bunge tarehe 23/4/2012, na kuibuliwa kwa ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma, vichwa vya...
Kila inapotokea safari inayomhitaji kiongozi wa juu wa nchi,karibu mara zote,Rais Jakaya Kikwete amekuwa akihudhuria mwenyewe.Anasafiri mara kwa mara.Anaonekana mtembezi.
Kikatiba,Rais husaidiwa...
Mwenye taarifa kuhusu alipo Saed Kubenea ambaye amekuwa mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi kwa muda mrefu tafadhali anijulishe. Mimi ni mpenzi sana wa articles zake za kisiasa katika Gazeti hilo...
samahani sina maana mbya lakini nimegundua wengi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni wahanga wa uchaguzi mkuu wa 2010 mkitaka nithibitishe nipo tayari .
Ongeza na wewe unayokumbuka.
1.Akichukua mtu form Atakufa by Mar.Yahya
2.Mkiwachagua wapinzani hatutaleta maendelea by john pombe maguful
3.......
4....
.
.
.
.
100
Nimeona sherehe za kuwashwa mwenge kupitia tbc. Kwa kweli inauma sana kila siku hafla zisizo na maana zikitumia pesa kibao. Hivi kuna ulazima gani wa kuwasha mwenge kila mwaka? Nini faida ya...
ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI DR Norman Siggala (maarufu kama shemeji kama waandishi wa habari moshi wanavyiomuita) mwaka jana alichangisha fedha kwa wafanyabiashara jijini dar es salama 480ml...
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu ameitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuunda tume huru kuchunguza chanzo cha vurugu za wamachinga zilizotokea Novemba 4, mwaka...
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene ,
Nawasilisha
Polisi wakishamalizana na Nassari. wawahoji na akina Magufuli kwa kauli zamkichagua upinzani serikali haitaleta huduma jimboni. Najua PM alisema it was just "unfortunate" na yakaisha, hawajahojiwa...
Katika kule tunaposema ni kulindana na nani amfunge Paka Kengele ni kua kuna yule bwana aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa takribani miaka 20, Amani...
Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na...
Kwa tulivyosomeshwa skuli zetu mwenge uliwashwa ukiwa na ujumbe ati UHURU WA KUJITAWALA,UMOJA NA MSHIKAMANO.sasa kwa leo vitu hivi havipo sasa unamanufaa gani kama cyo kufuja pesa zetu kwa sherehe...