Posted by John Mnyika | May 13, 2012
WanaJF wenzangu, katika kipindi cha kati ya 2011 mpaka 2012 kuna mwelekeo ambao naona ni vyema kila unapoibuka mkauchukulia kwa tahadhari. Kwa nyakati...
Huwenda CC Ya ccm ndiyo yenye watu wenye msimamo kuliko ata wabunge na Mawaziri kwani maamuzi na maazimio yao ndiyo hufuatwa.
Je unazani ni kwanini huwa hawapuuzwi kama wabunge na mawaziri...
Posted by dosama | May 15, 2012
TAMKO LA NEC JUU YA KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA NCHINI.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imejadili kwa kina suala la kupanda kwa gharama za maisha nchini. NEC...
Wakati wabunge wetu wakihaha kudai kuongezewa "kipato chao" ili kufanya kazi kwa "ufanisi" zaidi, Rais mpya wa Ufaransa kapunguza mshahara wake na mawaziri wake kwa 30%.. read more
France's new...
Leo ktk uwanja wa Sokoine akiwa anazitua sensa ya watu na makazi pamoja kuwasha mwenge wa uhuru Mh. Waziri mkuu amezunguzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na:
kuwataka watu wajiepushe na ugojwa...
Source BBC News.Tanzania inaongoza kwa uuzaji aridhi kwa wageni(wawekezaji) miongoni mwanch za afrika ya mashariki.ndio maana ****** hualikwa marakwamara na Obama.
Kumbe mzee kaalikwa Marekani kwenye mkutano wa wakubwa ni kwa sababu tunauza aridhi yetu kwa wageni kama njugu. Je wajukuu zetu wataishi wapi?
Source BBC asubuhi
Source BBC
Imebainika kuwa misaada ya elimu ktk nchi za kiafrika hasa Tanzania imechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa kiwango cha elimu nchini.
Hii inatokana kuwa na walimu na wakufunzi...
Taarifa za vyombo vya habari za hivi karibuni zilipasha kuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja , katibu mkuu wa zamani wa CCM Yusuf Makamba na mshauri wa zamani wa rais Kingunge...
By Rutashubanyuma
Hon MP and former Premier Edward Lowassa's days in ccm have now been numbered as he carefully sends confusing messages to his "will soon be" former employers in ccm and his...
Madiwani wa Tarime wamemkataa DC, Mh. Henjele; wakiwa kwenye mkutano wao Madiwani wote 49 wamepinga kuendelea kufanya kazi na DC huyo kulingana na mapungufu makubwa aliyo yaonyesha wakati wa...
Posted by Mzee Mwanakijiji | May 14, 2012
I don't know if my fellow Tanzanians have noticed that it seems as if that the answer to all our current problems, complaints, concerns and anxieties is...
Posted by FJM
Kwenye gazeti la Habari Leo (Jumapili 13/May), kuna habari inasema kuwa "Wabunge wa Marekani wataunda kamati ya bunge lao kuitetea na kuisemea Tanzania kwa kila jambo!"
Hapa nakuwa...
Hayawani walioahidiwa maisha bora kwa wote
Leo sina la kusema kuhusiana na ukondoo na umbwa. Nitasema nini iwapo nimeshasema mengi na hakuna anayenielewa na kama ananielewa anaishia kuugulia...
Kuna kasi ya ajabu tunayoishuhudia ya mwamko wa wananchi waliofunguliwa kuikataa CCM. Karibu kila kona ya nchi makundi ya mamia ya watu wanajitokeza pasi ya hofu wala utata kusema wanaikataa CCM...
Ukiacha muhemuko wa kuitoa CCM madarakani naanza kupata wasiwasi wa nini zitakuwa ni policy za kiuchumi za CHADEMA. Nikifuatilia mikutano yao CDM wanajipambanua kama CENTRE-RIGHT PARTY. Mpaka sasa...
Salamu Mh.
Napenda kuchukua fulsa hii kuongea nawe kuhusu jimbo letu Ubungo,Mh. naomba utufikishie swala hili mahali husika,swala ni barabara ya Mabibo Mwisho hadi Kona ya urafiki,barabara hii...
Mara nyingi sana Mhe. Pinda akiwa anajaribu kijibu kwanini Rwanda inapiga maendeleo kuliko Tanzania majibu hapa yalikuwa rahisi tuu kuwa Rwanda ni nchi ndogo kuliko Tanzania hivyo ni rahisi...
Ni mafaili mengi sana yamepelekwa kwa DPP lakini mpaka leo hayajapatiwa ufafanuzi na kuchelewa huko kama kuna fanya matukio hayo kuanza kusahaulika mafaili ya EPA toka 2008, mafaili ya...
Naomba mnipatie majibu niliyoshindwa kuyapata baada ya kuona waziri anafukuzwa kwa makosa ya mkurugenzi halafu mkurugenzi ekelege anaachiwa aendelee kutesa na kusafiri kwenda japan kwa hela za...