Hivi waziri na mkurugenzi nani mkubwa?? Chami vs ekelege

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Naomba mnipatie majibu niliyoshindwa kuyapata baada ya kuona waziri anafukuzwa kwa makosa ya mkurugenzi halafu mkurugenzi ekelege anaachiwa aendelee kutesa na kusafiri kwenda japan kwa hela za walipa kodi
 
Bongo land hiyo baba Pinda kumfukuza kazi katibu mkuu wa afya lakini hana nguvu na katibu mkuu wa Nishati na madini (Jairo)???????????????????

Waziri na wakurugenzi wote huteuliwa na rais. Waziri alikosea yeye alitakiwa ahakikishe huyo mkurugenzi kafukuzwa kabla hakijanuka kwake. Mimi nilitegemea katibu mkuu na mkurugenzi wangekuwa wameondoka siku nyingi maana wao ndio masignatory wakuu.
 
Back
Top Bottom