dosama JF-Expert Member Dec 25, 2010 912 957 May 18, 2012 #1 Source BBC Imebainika kuwa misaada ya elimu ktk nchi za kiafrika hasa Tanzania imechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa kiwango cha elimu nchini. Hii inatokana kuwa na walimu na wakufunzi wasio na sifa kufundisha kutokana na misaada hiyo.
Source BBC Imebainika kuwa misaada ya elimu ktk nchi za kiafrika hasa Tanzania imechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa kiwango cha elimu nchini. Hii inatokana kuwa na walimu na wakufunzi wasio na sifa kufundisha kutokana na misaada hiyo.