Tusaidiane katika kusaka maisha bora Tafakari kati ya mbwa na wanadamu

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3]Hayawani walioahidiwa maisha bora kwa wote[/h]


Leo sina la kusema kuhusiana na ukondoo na umbwa. Nitasema nini iwapo nimeshasema mengi na hakuna anayenielewa na kama ananielewa anaishia kuugulia moyoni. Hao mbwa wanakufundisha nini? Je zamu ya hao mbwa kupata wanachokihitaji na kukitaka itafika lini wakati jamaa ndiyo anamaliza kutafuna minofu? Ila kumbuka. Mbwa ni hayawani tofauti na binadamu. Kila la heri katika kutafakari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom