Pinda ukubwa wa nchi si laana


M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
1,448
Likes
45
Points
145
Age
35
M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
1,448 45 145
Mara nyingi sana Mhe. Pinda akiwa anajaribu kijibu kwanini Rwanda inapiga maendeleo kuliko Tanzania majibu hapa yalikuwa rahisi tuu kuwa “ Rwanda ni nchi ndogo kuliko Tanzania hivyo ni rahisi kuiongoza” kwakeli majibu haya yanatia hofu kwamba yametolewa na kiongozi mkuu wa nchi.


La kujiuliza hapa hivi nchi zote ndogo Duniani zimepiga maendeleo?
La pili je ni nchi zote kubwa Duniani hazina maendeleo ?

Kama ndio basi ukubwa nchi ni laana. Kwa upande wangu si chi zote ndogo Duniani zimepiga hatua kama Rwanda kwa mfano Burundi, Lesotho,Somalia, Eritrea,Swazland, n.k na vile vile sinchi zote kubwa Duniani hazina maendeleo kwa mfano India, China, Brazil, USA n.k kwa namna hii inaonyesha dhahiri kuwa katika uongozi wan chi hii tunaombwe la viongozi kukosa majibu sahihi ya maswali magumu .
 

Forum statistics

Threads 1,273,818
Members 490,485
Posts 30,492,972