Hii ni Habari katika Habari Leo Jumamosi
MBUNGE wa Jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) amesema hana imani na Jaji Mary Shangali kuendelea kusikiliza kesi ya kupinga matokeo yaliyompatia...
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa...
Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda...
Miaka 20 sasa tangia chama cha siasa CHADEMA kupata usajili wa kudumu. Chama hiki kimepitia mikiki mingi sana ya kisiasa. Siku za mwanzo wengi waliogopa hata kuitwa wapinzani kwa hofu ya kupoteza...
VIONGOZI wa vyama viwili vya siasa nchini wameibuka na kutoa notisi ya siku 90 kwa Serikali kusitisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba mpya unaoendelea kwa madai kwamba mchakato wa Sheria ya...
Heshima zenu wakuu,
Nikiwa mmoja wa watanzania wanaoishi ughaibuni ningependa kupewa maelekezo kutoka kwa yeyote mwenye kufahamu namna gani nasi tunaweza kushiriki katika kutoa maoni yetu hususan...
Now that we have the tume next? As a forum of Great thinkers what do we do?
Do we wait to hear from them? Big No! Let us continue pondering about what should and should not go into our new...
Ni kweli Tumepata tume ya kuratibu ukusanyaji wa maoni katiba! Asante.. sasa nini kufuate katika
Fikira????
Sisi tunaojinasibu kuwa wenye fikira pevu tufanye nini au tunasubiri...
:spy::spy:kumekua na hatua mbalili mbali ambazo ccm imekua ikichukua kukabiliana na kuporomoka kwake,,,,,,moja ni kutumia mbinu za upinzani na kuteka mijadala,,mf,,,katiba...
Unapoangalia yanayoendelea kati ya bavicha na shibuda then unaforecast yatakayotokea kati ya chadema na olle millya afu unakuja kuhitimisha kwamba chadema haina sort of KYC (know your customer)...
source mwananchi
MABALOZI WAGOMA KUCHUKUA FOMU KUOMBA UONGOZI, WASOMI WAIONYA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemaliza uchaguzi katika ngazi ya mashina na matawi huku kikikabiliwa na tatizo la...
Nimesikia mrithi wa Hayati Regia amepatikana kutoka Karatu! Je ilikuwa lazima wapitie kwenye kumbukumbu za chaguzi zilizopita?? Kwa nini hawakufanya uchaguzi mwingine ili kuleta uhalisia wa usawa...
...Binafsi na kwa dhati ya moyo nakiri kuwa hali ya CCM sasa ni mbaya,imezeeka,imekuwa kichaka cha wahuni,wala rushwa,wahujumu uchumi,mafisadi wa mali za umma,mradi wa kuendelea kimaisha...imekuwa...
Tanzania Daima
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kuandaa fitina, mbinu na mikakati ya kukidhoofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwamo kumngoa Katibu Mkuu wa chama hicho...
Kufanikiwa kunahitaji bidii napia kunachangamoto yake,hivyo ninawaomba viongozi wote tuelekeze nguvu ktk mikoa ambayo ikonyuma kimawasiliano ilituunganishe nguvu ya uma kwapamoja.mikoa kama...
Huyu Rais mtalii yuko safarini na watu kumi na sita 16,sasa la kujiuliza ni kwamba hawa watu wote wanaenda kufanya nini na wote hawa lazima walipwe so hapa si ndo kule kutafuna Taifa au tuseme...