Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yusuph Makamba Makamu wa Rais Dokta MOHAMMED GHARIB BILAL Jumapili ijayo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Vitabu Viwili vilivyotungwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Monday, 21 May 2012 | Geofrey Nyang'oro WAZIRI wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amemkaanga mtangulize wake akisema baadhi ya madudu aliyoyakuta katika wizara hiyo ni...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
MKUU WA WILAYA IRINGA AMFIKISHA POLISI MTENDAJI ALIYEGAWA MBOLEA KWA MAREHEMU........ Mjane wa marehemu Yohana Mtweve akionyesha kaburi la mumewe ambalo linadaiwa kupewa vocha za mbolea ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ule msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mipango yote ya kiserikali inafanywa na wataalamu wa sekta husika (kama nishati,n.k) walioko wizarani. Lakini wengi wa wataalamu wetu wamepanda mpaka kufika vyeo vya juu kabisa bila ya kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Mimi nataka kufahamu sisi kama watanzania target yetu kubwa ni nini?, Maana hata wakati nyerere na wale watu wengine target yao ilikuwa ni kumg'oa Mkoloni ili aingie Mtanzania ambaye hana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mwana JF mmoja aliwahi kupost hapa kuwa kikwete anasubiri Dr. Migiro amalize muda wake UN ndio afanye mabadiliko ya baraza la mawaziri! baadhi ya wachangiaji wakaenda mbali wakasema jk...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kale kautaratibu ka semina elekezi kanaendelea. Waziri Mkuu Pinda leo amefungua semina elekezi hapa Dodoma inawashirikisha wakuu wote wa wilaya, wakuu wote wa mikoa, makatibu tawala wote. Kikubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
naushangaa sana uongozi wa bavicha chini ya bwana heche kwa kuendeleza kelele na majibizano yasiyo na msingi wala tija yoyote kwa cdm na wanachi kwa ujumla.sioni sababu ya wao kuibuka na kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TORONTO, Jan. 11 /PRNewswire-FirstCall/ - The Company is pleased to report that it has submitted a patent application under international intellectual property laws pertaining to an...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Pigo CCM uchaguzi 2015 Send to a friend Sunday, 20 May 2012 09:33 Rais Jakaya Kikwete MABALOZI WAGOMA KUCHUKUA FOMU KUOMBA UONGOZI, WASOMI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
m4c karibuni kusini.Possible ya kupata majimbo ilikuwa ni Nachingwea na Masasi kama mtandao wa chadema ungekuwa umeimarika ile 2010.kwanini? Mgombea wa Nachingwea Mathias Chikawe alikuwa amechuja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnaweza Kuwatawanya Viongozi CDM; ila Umma hadi 2016 Chatu aliyebatizwa jina na migogoro anabisha hodi katika kibanda kinachozizima kwa hekaheka huko ndani nacho kibanda hicho kimebatizwa jina la...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
TAARIFA KWA UMMA MHE. TIBAIJUKA, NI WAKATI WA VITENDO SASA PUNGUZA MANENO KWA nafasi yangu ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, nimefarijika na kauli ya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi kumnyan'ganya kiongozi madaraka bila kumpa adhabu nyingine ndiyo maana ya uwajibishwaji?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye mjadala wa tuongee asubuhi uliorushwa na kituo cha runinga cha startv uliokuwa na kichwa "Maazimio ya nec ccm kuelekea 2015" Nape Nauye ameitaja Chadema mara 57 ndani ya saa 1 kwenye hoja...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Source ITV habari. Tanzania imewakaribisha wakulima wa kikaburu toka Afrika Kusini waje kulima nchini kwa mgongo wa uwekezaji katika kilimo kwanza. Sasa watapewa ardhi ya nani tungojee tuone...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…