Uwajibikaji

gudegude

New Member
May 19, 2012
3
0
Hivi kumnyan'ganya kiongozi madaraka bila kumpa adhabu nyingine ndiyo maana ya uwajibishwaji?
 
kwa tafsiri ya Tanzania na hasa CCM ndio maana yake ila navojua mimi kuwajibika ni kwanza kujiuzulu ili kufungua njia au hatua nyingine kuendelea ikiwa ni pamoja na uchunguzi huru dhidi ya tuhuma zinazokuhusu na baadae hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo na mwisho kuhukumiwa ikiwa mahakama itakuona na hatia, lakini kujiuzulu tu inasaidiaje mtu kurudisha mabilioni ya walipa kodi alizoiba??
 
Back
Top Bottom