CHADEMA wekezeni kwa wasomi vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wekezeni kwa wasomi vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, May 21, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni ELIMU kwa WANAVYUO nao wataenda kuitoa kwa WAZEE wao soon mtaona MABADILIKO.FAIDA nyingine ya kuwekeza kwa hawa WASOMI ni kwamba 2012 ndo watakaokuwa WAGOMBEA kwenye UCHAGUZI MKUU.Kumbukeni hakuna MTUMISHI wa SERIKALI anayedhubutu kugombea kwa kupitia vyama vya UPINZANI.Mkitegemea MAKAPI ya CCM basi msubirie yale ya chibuda.Tambueni the earlier the better.
   
 2. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  umenena ila kwa kuwa ni chama cha wabishi watakupinga2.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chuo kipi hicho ambacho kina wanachuo wasioipenda cdm?
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Labda kile cha Kivukoni kilichokuwa kinafundisha makada wa ccm
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  uchaguzi gani mkuu ,
  anyway, nice say mkuu Kyindokyakombe
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Sikatai ila wanavyuo wako wangapi.. japo sina takwimu za uhakika hawafiki 90,000 ukiangalia kwa miaka mitatu ijayo unaongelea wasomi 270,000.. sasa hawa ni wachache sana.

  chadema tunawekeza kote kote kwani nchi hii ina watu 47 milioni sasa hawezi kuwekeza kwa watu wasiofika hata milioni.... japo tunawahitaji kwa maendeleo ya nchi hii ila elimu ya juu ya hali ya nchi na mstakabali wa nchi wanapashwa kupewa wote.
   
Loading...