Yuko wapi dr. Asha rose migiro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi dr. Asha rose migiro?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OSOKONI, May 21, 2012.

 1. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Kuna mwana JF mmoja aliwahi kupost hapa kuwa kikwete anasubiri Dr. Migiro amalize muda wake UN ndio afanye mabadiliko ya baraza la mawaziri! baadhi ya wachangiaji wakaenda mbali wakasema jk anamuandaa huyu mama mwanadiplomasia kumrithi atakapoacha madaraka 2015 (kama atafika hapo) Pressure ilipozidi hivi majuzi kuhusu cabinet bado jina la Dr.Migiro lilitajwa sana! baada ya jk " kusuka" baraza lake kimya hatusikii tena kumhusu huyu mama! nini kimetokea?jk kamtupa? alikataa? au anataka aje kuomba kugombea urais urais 2015 as suprise??vipi anaweza kwenda upinzani? is she a presidential material? Tumjadili!!
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huyu mama alifutwa kazi kwa utendaji uliozorota


  hakuwa na lolote b4 na kwa mshangao JK akampendekeza kwa BAN MOON kuwa naibu akidhania ataleta ngonjera za TUTA../MKAKATI UNASUKWA.../MPANGO UKO MBIONI...
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bado yuko UN, anarudi mwezi wa 6, kuja kuchukua nafasi ya waziri mkuu, ambayo pinda anaikaimu kwa sasa...
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hamjui Bado yuko UN... Katibu Mkuu wa UN alimuongezea Miezi 6 ili auongoze Mkutano wa Mazingira utakaofanyika

  Rio De Janeiro; Brazil; RIO2012 Mkutano huo Unafanyika JUNE 2012; Halafu ndipo atakaporudi Bongo

  Kwahiyo Mtulie Wabongo... Hajafukuzwa ni kwawaida Manaibu Makatibu wakuu hawakai zaidi ya Miaka Minne
   
 5. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Najibu hilo la mwisho: Hapana, si presidential material, wala hafai. Period.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  too short answer! njoo na negative aspect zake kuonyesha hafai!!!ndio mana ya mjadala mpana!!
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  tunamkaribisha home, na kwa siasa za bongo atapilitiliza bunge kwa kunde la wakuteuliwa , wataendelea kumung'unya hii nchi mpaka iishe yote maskini mweeeee
   
 8. N

  Ndevumzazi Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda "Anakaimu nafasi ya pinda''
   
Loading...