Madudu ya Watendaji CCM.. Hii ni zaidi ya maelezo...

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
[h=3]MKUU WA WILAYA IRINGA AMFIKISHA POLISI MTENDAJI ALIYEGAWA MBOLEA KWA MAREHEMU........[/h]








Mjane wa marehemu Yohana Mtweve akionyesha kaburi la mumewe ambalo linadaiwa kupewa vocha za mbolea ya ruzuku








Mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin akitoa zawadi ya kanga kwa mjane huyo baada ya kuonyeshwa kaburi








Mtangaji wa Radio Ebony Fm Julian akifanya mahojiano na mtendaji wa kijiji cha Kibena Laurent Kidava anayetuhumiwa kugawa mbolea kwa marehemu







Hili ni kaburi la marehemu nikionyeshwa







Gari la mkuu wa wilaya ya Iringa likimshusha mtendaji huyo polisi kwa tuhuma za wizi wa mbolea ya ruzuku







Hapa mtendaji huyo akinipa kitabu cha wageni kabla ya kuanza mahojiano
 
Bujibuji! hebu weka mambo sawa kidogo - hili tukio limetokea lini (Mtendaji kapelekwa lini polisi?, pembejeo zimegawiwa lini na marehemu amefariki lini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom