G8 yaanza kazi; makaburu wa S. Afrika waja kupewa ardhi walime

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source ITV habari.

Tanzania imewakaribisha wakulima wa kikaburu toka Afrika Kusini waje kulima nchini kwa mgongo wa uwekezaji katika kilimo kwanza.

Sasa watapewa ardhi ya nani tungojee tuone na tungojee kuwa watumwa wa ardhi ndani ya nchi yetu wenyewe
 
Hahahahaaa,,,,,,,watanzania wajiandae kutwangwa risasi,,,,tumesikia ng'ombe wa wafugaji wa arumeru wamekufa kwa kuwekewa SUMU kwenye MAJAN
 
Ukumbuke pia wenyewe kwa wenyewe wakulima na wafugaji zimechapwa jana kwa sababu ya ardhi hadi nyumba na gari kuchomwa moto
 
Mimi sioni Tatizo kwa sababu Watanzania sisi tumeshindwa kulima tinakimbilia kufanya biashara zingine biashara za kilimo tunazikwepa sana, acha waje, Tunapenda tuwe tunasafiri njiani tunaona mapoli yamelala bila kufanyiwa kazi?
 
Kipo bora kuomba omba chakula cha misaada kila mwaka toka Marekani au kuruhusu wenye uwezo wakalima mazao hayo hayo hapa kama zamani?
 
Suala zuri sana. Ila wizara za kilimo, ardhi na ile ya uwekezaji iandae programu ya kuwaelimisha wananchi juu ya sula hili ili wananchi wawe tayari kulipokea. Pia mikataba iwe ya wazi na manufaa kwa nchi yetu. Wizara ya kazi angalieni jinsi ya kuhakikisha ajira ni kwa watanzania kwa asilimia kubwa na katika nafasi mbalimbali. Hapa tutaona utamu wake.
 
Ndio Food security iyo na bado tayari tushauza hectares lak 5 mpaka 2015 nadhani tutafika 5mil hect
 
miundo mbinu ya maji ya umwangiliaji iko tayari kwa wawekezaji wa nje tu na sio wazawa. chonde chonde serikali hebu kabula ya kuwaleta wazungu wajaribu wa-Tz wenzangu kuwaandalia miundo mbinu ya kuaminika uwaone kama hawawezi kutekeleza sera yako ya kilimo kwanza, then wakishindwa uwe na sababu ya kuwanyang'anya aridhi yao iliyotukuka.
 
Ni heri mzee kifimbo angekuwepo pengine angekemea haya, hivi hakuna kizazi baada yetu kama sisi tumevikuta wao watakuta nini?
 
Kipo bora kuomba omba chakula cha misaada kila mwaka toka Marekani au kuruhusu wenye uwezo wakalima mazao hayo hayo hapa kama zamani?

umeshindwa kutumia lasilimali ulizonazo mkuu!??
unadhani hatuwezi kulima??
 
mheshimiwa Masaki ,suala la kujichukulia shria mikononi ni fano mkubwa ambao unaonyesha jinsi gani sheria imeoza nchini,angalia jeshi la police jinsi lilivyokuwa duni hawana communication ya kutosha ,magari na vyombo vingine vya mawasiliano vimeshindikana kupatikana kutoka kwa government hii inachangia sana kwa jeshi hilo kutofanya kazi zake kwa ufanisi zaidi,hapa wa kulaumiwa ni serikali na wla sio hao police kwani kama serikali ikihitaji watu hawa kufanya kazi zao kikamilifu watazifanya.Serkali lazima ifanye investment kubwa sana katika jeshi la usalama wa raia (police)kama walivyoinvest katika jeshi,kama kuna kijinchi kitakachojaribu kutuletea tabu basi9 hapo ndipo mtajionea jinsi gani imewekeza ndani ya jeshi letu,na vivyo hivyo inaweza ikafanyika kwa jeshi la police.Vibaka wote watakapoyeyukia hatutojua.

peace!!!

unaweza kuwaolea wenzio mke?
Kisa jongoo halipandi mtungi!
 
waje waje shamba la bibi hili....... watanganyika tutaomba kwao watukatie vipande tulime mahindi then watutoze kodi.......





kidumu chama cha mapinduzi..
zidumu fikra za mwenyekiti.....
udumu uwekezaji wa ardhi na madini...
 
Nijulisheni ni lini G8 hawakuwa kazini ktk kupora na kudhulumu? Au ulimaanisha phase.... ya udhalimu?
 
Kama hakuna anayelima acha wanaotaka kulima walime.

Kama kuna mtu amenyang'anywa shamba hio ndio issue, lakini kama wamepewa mapori wakaanze kulima, sioni kama ipo shida
 
Back
Top Bottom